Wakuu,mvua zinaendelea kunyesha mkoani Dar es Salaam. Sisi wakazi wa Dar sasa tunataabika pa kupita na pa kuishi. Tupeane yanayojiri yakiambatana na picha ili tujue hasa kinachoendelea jijini humu. Huku Mikocheni B,mitaro imezibuka na mambo ni mchafukoge. Tumekuwa kama washiriki wa kuruka chini katika UMITASHUMTA au UMISETA.
Hapo kwenu vipi?
Huku kwetu kiwalani tumeamua kuwa na swimming suits.
bomoeni shoperz na my fair plaza na tmj....wale ndy source ya kujaaa maji huko hadi zile aptmnts za fidah zote zimejengwa juuuu ya mkondo wa maji....mafuriko yataendelea kuwepo na kuwepo....
bomoeni shoperz na my fair plaza na tmj....wale ndy source ya kujaaa maji huko hadi zile aptmnts za fidah zote zimejengwa juuuu ya mkondo wa maji....mafuriko yataendelea kuwepo na kuwepo....
kulukuwa na mabwawa ya samaki aina ya kamabale mm nshavua sana hapo wnz za utotoni...ndiyo wakaja jamaa hao ma tycoon wamepewa vibali wakajenga eneo hizo..ila kwanza walitakiwa kutengeneza njia ya maji....mfano ona sheli ya hapo oulcom imejaa maji kama ziwa tanganyika sijui kama tank za mafuta chini zmeponaUko sawa kabisa, nakumbuka wakati niko mdogo nakaa mikocheni A. Mitaa hiyo ya maifair, tanesco n.k kulikua na mabwawa kabisa n tulikua tunavua samaki.
duh si mchzoJana nimetoka kunua life jakets kwa ajili ya familia nzima. Nasubiri mafuriko tu.!
Hii wapi mkuu?nouma sana !
Watanganyika Mungu atusaidie sana. Kama nakumbuka vizuri hawa watu wa mabondwni si wqliambiwa wahame wakakataa eti ktk siku. 365 mafuriko ni siku nne tu, hivyo hawaoni sababu ya kuhamaHivi kila siku itakuwa ni hivi hivi alafu badae watatuonyesha wanazunguka na helkopta kujionea badala ya kutatua tatizo ikiwezeka hata maamuzi magumu kufanyika kuepusha maafa katika jamii.