Wabongo tulivyo hata kunya wakishindwa watailaumu serikali.
Mzigo huu ni wa serikali. Ulishawahi kujiuliza hao town planners wanafanya kazi gani hasa? Kila mahali jiji lina unplanned settlements. Na bado zinaendelea huko kibamba watu wanauziana hatua kumi kwa kumi na tano utadhani enzi za ujima. Na pale wanazuoni wetu waliosomea kupanga miji wanpoona haja wanahamisha watu na kuwalipa fidia kusudi watengeneze 'satelite city'. Umeshawahi kujiuliza kwa nini sateliye city isianzishwe kwenye machka ya kibaha huko tukapunguza msongamano?
serikali imefanya mipango kiasi gani kutengeneza drainage system kusudi maji yapate pa kupita? Umeshaona barabara yetu mpya na pendwa ya morogoro ambayo strabag wanaijenga kimiujiza (manake hawaonekani sijui wanajenga saa ngapi!), jinsi inavyotuama maji? Soon mafuriko yanahamia barabarani, kama wewe unakaa kilimani na unahisi hayakuhusu ngoja siku uchukuliwe na maji ukiwa brabarani ndio utaelewa pa kuto lawama.
Welsaid, hata hivyo si serikali tu ya kulaumiwa, wananchi ndio wenye kubeba zaidi lawama pamoja na udhaifu wa serikali. Binafsi ninapohitaji kujenga huwa ninaangalia mengi likiwemo hilo la mafuriko.
Nilitafuta kiwanja cha kujenga Morogoro, nikapata serikalini bila taabu cha low density, kilikuwa kipindi cha kiangazi ambapo maeneo mengi yamepimwa sehemu hiyo. Lakini nilipofanya uchunguzi wa kina niliona kiwanja hicho kina mchanga mwingi sana na katikati kumepita mkondo unaoonyesha dalili kipindi cha masika kuna maji yatokayo mlimani yanapita hapo kwa kasi. Pamoja na kwamba niliridhia kiwanja hicho lakinin nikabadili nia na kukiacha auziwe mwingine sababu ya dalili nyingi za mafuriko ingawa ni ya kupita kwa muda kwa kuwa kiko kwenye muinuko kidogo.
Anayesumbuliwa na mafuriko si serikali bali ni yeye aliyeamua kujenga hapo, hivyo makosa ni pande zote.
sasa babangu, ndo hapo nauliza town planners wanafanza nini nji hii? kama woote town planners na wataalamu wenzao wanaenda kupima kiwanja (ambacho ni ghali, tunamuongelea anaeishi jangwani mostly kwa sababu ndio kuna nyumba affordable na pengine anakwepa nauli ya kwenda kazini pia kupunguza gharama za maisha. huyu mostly ni mfanyakazi kibarua asie na ajira ya kudumu, na waziri wake kaidhinisha mshahara wa tzs 80,000/= kwa mwezi na halazimiki kumlipia bima ya afya). unaendaje kupima kiwanja mahali penye mkondo wa maji? :A S 13:
na bado tusiilaumu serikali? seriously, wanaoishi mabondeni unadhani hawangependa kuishi mbezi beach ama masaki? watu hawana choice kama unavyodhani kakangu.
Makosa ni ya wananchi wakaazi wa maeneo hayo.
Anayesumbuliwa na mafuriko si serikali bali ni yeye aliyeamua kujenga hapo, hivyo makosa ni pande zote.
Serikali inapaswa kulaumiwa kwa kila kitu
Lawama ni kwa serikali tu maana hata maeneo ya Posta ambayo tunaona kuna Skyscrapers zinazomea kila leo lakini nyingi kama zake zimejengwa kimakosa.
(Msibishe bali fuatilieni ripoti ya Wakala wa Majengo ya Taifa.)
Mzigo huu ni wa serikali. Ulishawahi kujiuliza hao town planners wanafanya kazi gani hasa? Kila mahali jiji lina unplanned settlements. Na bado zinaendelea huko kibamba watu wanauziana hatua kumi kwa kumi na tano utadhani enzi za ujima. Na pale wanazuoni wetu waliosomea kupanga miji wanpoona haja wanahamisha watu na kuwalipa fidia kusudi watengeneze 'satelite city'. Umeshawahi kujiuliza kwa nini sateliye city isianzishwe kwenye machka ya kibaha huko tukapunguza msongamano?
serikali imefanya mipango kiasi gani kutengeneza drainage system kusudi maji yapate pa kupita? Umeshaona barabara yetu mpya na pendwa ya morogoro ambayo strabag wanaijenga kimiujiza (manake hawaonekani sijui wanajenga saa ngapi!), jinsi inavyotuama maji? Soon mafuriko yanahamia barabarani, kama wewe unakaa kilimani na unahisi hayakuhusu ngoja siku uchukuliwe na maji ukiwa brabarani ndio utaelewa pa kuto lawama.
Mzigo huu ni wa serikali. Ulishawahi kujiuliza hao town planners wanafanya kazi gani hasa? Kila mahali jiji lina unplanned settlements. Na bado zinaendelea huko kibamba watu wanauziana hatua kumi kwa kumi na tano utadhani enzi za ujima. Na pale wanazuoni wetu waliosomea kupanga miji wanpoona haja wanahamisha watu na kuwalipa fidia kusudi watengeneze 'satelite city'. Umeshawahi kujiuliza kwa nini sateliye city isianzishwe kwenye machka ya kibaha huko tukapunguza msongamano?
serikali imefanya mipango kiasi gani kutengeneza drainage system kusudi maji yapate pa kupita? Umeshaona barabara yetu mpya na pendwa ya morogoro ambayo strabag wanaijenga kimiujiza (manake hawaonekani sijui wanajenga saa ngapi!), jinsi inavyotuama maji? Soon mafuriko yanahamia barabarani, kama wewe unakaa kilimani na unahisi hayakuhusu ngoja siku uchukuliwe na maji ukiwa brabarani ndio utaelewa pa kuto lawama.
Wabongo tulivyo hata kunya wakishindwa watailaumu serikali.
Kwahiyo unataka kusema Watanzania hawana akili za kujipanga wenyewe hadi serikali iingilie kati?
Haiwezekani mtu una akili zake ununue kiwanja hatua kumi na mnajenga mmebanana utadhani umnatengeneza solitary confinement.