Picha Ambazo Rais Obama Hapendi wewe Uzione

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
Picha Ambazo Rais Obama Hapendi wewe Uzione

527.jpg


Meja jenerali mstaafu wa jeshi la Marekani Antonio Taguba ambaye alifanya uchunguzi wa picha za utesaji wa wafungwa nchini Iraqi ambazo zilipigwa wakati wa utawala wa rais wa zamani wa Marekani George Bush, amesema kuwa anamuunga mkono rais Obama kuwa picha za utesaji wa wafungwa kwenye jela ya Abu Ghraib nchini Iraqi hazifai kuwekwa hadharani kwakuwa ni za kutisha sana zilizojaa ukatili na zitajenga chuki kwa askari wa Marekani. Gonga Picha ndogo kwaajili ya Picha Kubwa












 
Mkuu,

Hizo picha zote zilikwishatolewa hadharani tangu wakati wa utawala wa GW Bush.
Sioni sababu ya kuunganisha hizo picha na kichwa cha habari kama ulivyokiweka!
Alichokataa Obama, baada ya kukubali kuzitoa rasmi mwanzoni, ni kuzitoa upya baada ya kushauriwa hivyo na washauri wake, ili kulinda hisia za wahusika(wa- Iraq) dhidi ya majeshi ya USA
 
Ni kweli hizi zote ni utawala wa Bush nafikiria walishaomba radhi kama sikosei hata Iraq pia waliwafanyia mateso kama haya...walishaomba radhi na askari wengi walirudishwa na kupewa adhabu.....
 
sasa na wewe kama una akili timamu mbona unaendelea kuweka picha hizi mtandaoni ulielewa vizuri mkuu Obama alimanisha niniunanipa mshaka juu ya uwelewa wako inaonekana wale aliyowakatalia obama nawe kundi moja yaani tayari unagusa hisa za wahtika ni sawa sawa ukute mtu karudia picha ya mwisho iluiyosababisha wale wajinga wa the utamu kaitundika mtandaoni anajifanya kuleta mjadala itakufurahisha achaa bwana yaani mi sijaipenda hiii mipicha yako naomba uitoe haraka. wana jf ni watu makini mbona wewe unatutia mshaka.,'1`!!!???/
 
Kuna picha ilitundikwa kwenye thread hapa JF.

Pata ukweli wake kwenye hii attachment
 
Last edited:
Samahanini sana wanajamii, najaribu ku upload clip kwa kutumia Manage Attachment ila inaishia kwenye kusend request halafu ina freeze. Msaada kwenye tuta kama kuna njia nyingine. Mod upo?
 
Hawa wamerakani sijui kama wana dini, na kama wanamfahamu mungu, kwa picha hizi na unyama huu hata firauni hakuwa hivi nadhani...hakuna mwenye akili timamu atakubali ujinga kama huu..I give big up walioamua kushika silaha na kuwa kwenye uwanja wa mapambano this is the only better thing to do kwa mtu mjinga kama Amerika
 
Kuna picha nyingine amabazo hazikutolewa ambazo ndio tawala zote za Bush - Obama hawataki zionyweshwe sababu sitaleta uhasama zaidi. Hizi picha ni mlizoona ni tone katika bahari kwa hayo maovu aliyofanywa na hawa wanaohubiri haki za binaadamu. Hata Obama ni yale yale wote kitu kimoja la sivyo asinge aminiwa kua rais.
 
Obama hausiki hapo..hiyo ni kazi ya g. Bush..manyanyaso ya wafungwa iraq gereza la abu gharib.
 
Duh kazi kweli kweli, yaani watu wanateswa na kuuliwa kwa makusudi alafu ndugu jamaa na marafiki wanaombwa radhi...! Just like that...! yaani kama aliyepata hayo mateso si binadamu.

Watu wakilipa visasi, wataitwa majina ya ajabu ajabu.
 
Back
Top Bottom