Picha Ajali ya Kibamba 25-03-2010

Status
Not open for further replies.
Ndugu zangu wasimamizi wa nchi hii wamechoka kiasi kwamba hata watedaji wamejisahau. Mwaka wa kuwaweka wasimamizi wenye kujua wajibu wao ndio huu, jamani watanzania wenzangu tunakila sababu ya kuipumzisha rangi ja kijani.
 
Mwenyezi mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi,ila madereva msipokuwa makini na kuwa na hofu,ubinadamu,mtatumaliza
 
Ee bwana wa jameni mi nlikua nasikia ajali tu ilitokea kibamba
leo ndo nimeona picha alisi ilivyokua jasho limenitoka ama kweli ujafa aujaumbika
vyote ni vifo lakini ihh its to much MUNGU MUWEZA WA YOTE AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU
MAHALI PEMA PEPONI AMEN
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom