Picha: Afande na ishara ya V

washwa washwa

JF-Expert Member
Jul 21, 2012
1,613
717
401082_110501589072811_1029934197_n.jpg
 
Chadema na polisi damu damu we ushangai vurugu zote viongozi wake wako uraiani wanaperuzi mitaa.
 
Mbona amekaa ;alafu amelegea nadhani huyu atakuwa ni wa kule wanasema ,afandee mguu kandoo.....
 
Maafande wote hawana ruhusa ya kuwa wanachama wa vyama vya SIASA hadharani. KAJIPANGE UPYA NA propaganda zako!.
 

1)sasa hii ni habari ya kukaa jukwaa la siasa..?!! ...

2)katika sheria za jamii forum ni lazima u acknowledge source sijaona source kwenye habari yako

3)ni wapi aliposema amehamia chadema

4)Polisi hawatakiwi kuonesha itikadi za vyama huoni kuwa unamtafutia matatizo sababu toka ameonesha symbol ya vidole viwili wewe uka assume ni chadema..!

5)umekiuka sheria za jamii forums unastahili ban

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom