picha 35 za fumanizi kali za kufungia mwaka 2012 (mke/mme wa mtu ni sumu) tujirekebishe 2013

Status
Not open for further replies.
zz6.jpg

nitazidi kuwarusha adi jamii itakapojirekebisha
 
Dada huyu kafumaniwa akiwa na mume wa mtu, mwishowe ikabidi akojolewe.
 

Attachments

  • mkojo.jpg
    mkojo.jpg
    23.7 KB · Views: 644
Namfahamu vizuri huyo babu wa miaka sabini aliyefumaniwa akila na mke wa mpangaji wake. Ni wa Arusha, Maeneo ya Sekei, na babu ni Balozi wa nyumba kumi (CCM) alilipa faini kusamehewa ila akaahidi kumuoa kabisa huyo binti kwa madai kwamba kijana hamtoshelezi binti....ilikuwa ni aibu sana.

[
QUOTE=Money stunna;5246343]View attachment 75576View attachment 75577View attachment 75578View attachment 75579View attachment 75580View attachment 75581


tuheshimu wake/waume wa watu,kuchukua mke/mme wa mtu uku ukiwa unafahamu jua kwamba za mwiz ni 40,utazalilishwa na autosahau maishani,sehemu nyingine nimeziba kwa sababu maalumu,kuingia 2013 tujirekebishe sana[/QUOTE]
 
Udhalilishaji wa utu wa binadamu uliopitiliza.......in fact tuna vyombo Kama Mahakama na polisi, hivi vipo kulinda usalama wa Raia na kutoa haki(Mahakama). Inakuwaje umtoe roho binadam mwenzako kisa umemkuta na waifu!? I stand to be corrected!


ANGALIZO:

mleta maada, unanufaikaje na matukio haya?
 
Udhalilishaji wa utu wa binadamu uliopitiliza.......in fact tuna vyombo Kama Mahakama na polisi, hivi vipo kulinda usalama wa Raia na kutoa haki(Mahakama). Inakuwaje umtoe roho binadam mwenzako kisa umemkuta na waifu!? I stand to be corrected!


ANGALIZO:

mleta maada, unanufaikaje na matukio haya?


uwa inatokea kwa sababu ya hasira kwa mtu aliyefumania,ndio maana wengine uamua kuua mtu,kukata kiungo,kupiga,kumla 0713 mfumaniwaji

apo kwenye red,ili watu wajirekebishe wewe unaona matendo aya mazuri,tukikaka kimya aitakuwa solution,awa ni kuwaumbua tu watu wengine wajifunze kwa awa,mke/me wa mtu ni sumu,usijaribu chombeza yatakuja yakukute usiyoyategemea...........
 
Kila kitu Bible imeweka wazi wala haikuficha ili kwamba yule atakayeitunza sheria ya Mungu asiangamie
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom