Php and mysql book

Chief Lugina

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
286
76

Please kwa yeyote mwenye kitabu cha PHP AND MYSQL kinaitwa Begininig PHP and MYSQL E-Commerce From NOvice to Professional-Third Edition: Mimi nina Second Edition ambayo ina lack vitu flani ambavyo ninavitafuta,please kama kuna yeyote assist me.
 
Kitu cha kwanza inabidi useme author wa hicho kitabu ni nani kabla hatujaenda kwenye google wazoefu tukupe kitabu unachotafuta. Mtaje auhor kwanza.
 
Ninazo video training materials za mysql from begging, intermedite and advanced.

They contain everything you need to master mysql, please visit my website to watch some trials and contact me if you need a full version of it

www.alphonce.net
0767659145

Please kwa yeyote mwenye kitabu cha PHP AND MYSQL kinaitwa Begininig PHP and MYSQL E-Commerce From NOvice to Professional-Third Edition: Mimi nina Second Edition ambayo ina lack vitu flani ambavyo ninavitafuta,please kama kuna yeyote assist me.
 
Mimi ku-code sijuwi ila siwezi kuuliza swali la kijinga namna hii. Eti umesoma IT, IT gani hiyo uliyosoma hata kutafuta kitabu tu kwenye internet hujuwi.

Please kwa yeyote mwenye kitabu cha PHP AND MYSQL kinaitwa Begininig PHP and MYSQL E-Commerce From NOvice to Professional-Third Edition: Mimi nina Second Edition ambayo ina lack vitu flani ambavyo ninavitafuta,please kama kuna yeyote assist me.
 
Wapi mkuu Idimi? saidia vitabu tafadhali, pia muonyeshe unavitoa wapi kwani jamaa yako huku hajuwi pakuvipata.
 
Last edited by a moderator:

Ndugu Fadhili Paulo,
Kuna kipindi kulikuwa na vitabu vya almost kila sekta ya IT hapa JF, ila kwa sasa vimeondolewa. Nilifanikiwa ku download vingi sana kwa kipindi hicho. Ngoja nimuangalizie kwenye library yangu kama kipo cha PHP, ila kama nikikosa inabidi akomae na torrents kwenye kukipakua.
 
Last edited by a moderator:

Please kwa yeyote mwenye kitabu cha PHP AND MYSQL kinaitwa Begininig PHP and MYSQL E-Commerce From NOvice to Professional-Third Edition: Mimi nina Second Edition ambayo ina lack vitu flani ambavyo ninavitafuta,please kama kuna yeyote assist me.

Ndugu Lugina,
Kwa kuwa concepts za Php na MySql ni almost zile zile, nitaambatanisha post hii na vitabu kadhaa vya topics hizo, sio lazima kiwe kitabu hicho hicho unachotaka. Vitu gani havipo kwenye hicho kitab ili tukusaidie kutafuta?
 
Attachments

  • John.Wiley.and.Sons.PHP.and.MySQL.for.Dummies.Second.Edition.Mar.2004.eBook-DDU.pdf
    9.5 MB · Views: 185
  • mysql%20and%20php%20database%20applications.pdf
    3.5 MB · Views: 508
Vingine hivi hapa, vinavyohusu Php na MySql.
 
Attachments

  • PHP 5 and MySQL Bible (2004).pdf
    16 MB · Views: 101
Ninazo video training materials za mysql from begging, intermedite and advanced.

They contain everything you need to master mysql, please visit my website to watch some trials and contact me if you need a full version of it

alphonce.NET - IT video training site
0767659145
Mkuu si umweleze tu jamaa wapi unazipata maake nimepitia nikaona ni zile zile tunazozipata wote for free kwenye torrentz.com Tusiuziane kazi za watu wengine, umepata bure toa bure!!!
 
Back
Top Bottom