sijakariri ki2..... nahisi ujanielewa....maana ya 3D naielewa vizuri sana, hiyo Text ni 2D sema colours zilivyowekwa zinaifanya ionekane kama 3D... ebu angalia vizuri tena utanielewa 2,,,View attachment 63697 mfano wa 3D text
nimekuelewa. ndo maana nikasema effect. maana yake manipulation kitu kifanane na cha ukweli. anyways ishu ilikuwa sio 3d au lah. ishu ilikuwa ni kushea noleji kidogo. kama una wazo chochote shea tupate wote. au vp?
Mr. erickmalz, OP amesema 3D Effect, sio 3D Image.
kama ni hiyo Adobe Photoshop sawa mimi ninayo AutoCAD2012 (Auto Desk) nayo ni kiboko kwa mambo ya Uchoraji mkuu Kaa la MotoItakuwa Adobe photoshop cs series MziziMkavu
haya mkuu hapa
nimejaribu :smiling:View attachment 63622
Inaitwa Adobe Photoshop CS5
vp kuhusu CS6 nayo si bomba au? Na mimi nataka kujaribu iyo kitu
ebana mi natumia adobe photoshop 7 shughuli bado ni tete kwa upande wangu! Curves sizioni yaani ni balaa mwanzo mwisho! Napenda sana nijue maujuzi haya ila maujuzi sina!!!!c6 , mi hutumia style tofauti kutengeneza *bling bling* effect. Ila nimependa hii yako, its simple and quick. Mie mpaka nitumie filter>noise>dust & scratches ili niweze kuweka glitter ya bling. Matokeo kama hivi: