Photoshop cs4 ya bure hii hapa

Kizzy

Member
Mar 5, 2011
85
17
wadau nina photoshop cs4 ambayo haitaji key or activation tatizo nimei zip lakini bado system inasema file to large nataka kui upload ili wadau wapenda graphic design waitumie, nimesahau wapi nili-ipakua ili niweke link nikikumbuka nita iweka soon au kama kuna jinsi nyingine basi tupeane ujuzi au la nitaigawa into twoo folder na ku upload tena nione.
 
Mkuu shukrani kwa kushare softs. Tayari tumeshatoa Adobe Photoshop CS5 humu jamvini. Angalia kwenye downloads.
 
Taadhali...vitu vya bure madhara yake makubwa

Probability ni kuwa 0.999999 hujui hata hiyo CS4 kazi yake ni nini.

Na kama ni madhara nivitu vya bure mbona unajua RICHMOND haikuwa ya bue lakini madhara yake kwa taifa .............

wadau nina photoshop cs4 ambayo haitaji key or activation tatizo nimei zip lakini bado system inasema file to large nataka kui upload ili wadau wapenda graphic design waitumie, nimesahau wapi nili-ipakua ili niweke link nikikumbuka nita iweka soon au kama kuna jinsi nyingine basi tupeane ujuzi au la nitaigawa into twoo folder na ku upload tena nione.

Japo mm ninayo jaribu kuiweka hiyo program kwenye file sharing website kama mediafire na rapidshare .Lakini usiiiiite jina ambalo wanaweza kuifanya waifute.
 
Probability ni kuwa 0.999999 hujui hata hiyo CS4 kazi yake ni nini.Na kama ni madhara nivitu vya bure mbona unajua RICHMOND haikuwa ya bue lakini madhara yake kwa taifa .............Japo mm ninayo jaribu kuiweka hiyo program kwenye file sharing website kama mediafire na rapidshare .Lakini usiiiiite jina ambalo wanaweza kuifanya waifute.
Unaonekana mtata sana wewe! Kama mtu haelewi mwelimishe badala ya kujionyesha kwamba unajua!
 
Unaonekana mtata sana wewe! Kama mtu haelewi mwelimishe badala ya kujionyesha kwamba unajua!

hahhahaa Buchanan
Sasa kama mtu haelewi si mpaka kwanza aelewe kuwa haelewi. Akishaelewa kua haelewii ndo unaweza kumuelewesha. Zaidi ya hapo itakuwa kutwanga maji kwenye bahari.......

Na ndio maana nikampa mfano wa Richmond kuonyesha mfano alitoa hauna maana.

Week end njema mkuu
 
Back
Top Bottom