Photos: wadau wa British Legeon, Saigon,Tazara Club, wakutana leaderz leo!

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Da! kwa kweli leo nimekumbuka mbaaaaali sana,nimelia sana...poa lakini ndio kazi ya mungu,sote kwake tutarejea.
 
Ama kwa hakika ilikua ni siku kubwa sana jana,kukutana na watu wengi ambao tulipotezana kwa muda mrefu ilikua ni faraja ya aina ya kipekee.Hongera kwa bwana CISCO MTIRO na wenzake kubuni kitu hiki kizuri kwa marafiki tuliobaki kuwakumbuka ndugu zetu waliotangulia.
 
Nimewaona watu wa Dar Orijino kwa wingi sana, ahsante kwa kutuletea hizi picha, wengine niliwasahau kabisa na Gozi linanielewesha hapa ni "who is who".

Jamani Picha za hawa watu tuliozoeana sana zinanikumbusha mbali sana na imebidi nilie na kuwaombea Dua waliotutangulia.
 
Shukrani za kipekee kwa watu mliojitokeza na kufanikisha shughuli ile juzi.Mungu akipenda mwakani tena tukutane pale pale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom