PHOTOS: Msigwa- Daudi Mwangosi Ni Shujaa

Kama si wazimu ni kitu gani hivi unajua unachokisema au ndio ushabiki? Amani imeshaharibika unahoji kitu gani?

kama hao waliokuwa wanafungua tawi la sehemu walikuwa ni wakazi kwa nini asingerudi siku ya pili kuwahoji?

Msitake kubadili agenda Mwangosi (R.I.P) alikuwa kamanda ukweli utabaki kama ulivyo, wapo waandishi wa habari njaa wengi wameingizwa kwenye payroll ya Chadema hilo tunalifahamu sana.

Chama
Gongo la mboto DSM.
 
Mkuu kumbuka hii kitu "The world will not be destroyed by those who do evil, but by those who watch them without doing anything."
 
Kwa hio alikuwa uwanja wa vita? Jamani acheni siasa za karne ya 19, fanyeni siasa za kisayansi na kistaarabu.

kama haukuwa uwanja wa vita polisi kwa nini walitumia mabomu kuua na kuumza watu wasio na hatia wala hawana siraha yeyote
 
We mpumbavu nini? Hujui maana ya shujaa? Shujaa ni mtu yeyote anaeweza kusimama na kutetea au kuwakilisha jamii katika harakati ya ukombaozi D. Mwangosi kazi yake ni uandishi na mwandishi anajukumu la kuwakomboa watu kifikra katika jamii.

Kwa maana hiyo basi D. Mwangosi huenda matunda yake yangeonekana endapo angeendelea kuwa hai na Police wakishirikiana na CCM wamekatisha ndoto hizo lakini hata hivyo jamii imetambua umuhimu wake katika jamii ndo maana anatambulika kama shujaa. Sasa ulitaka afe Nape na Tendwa ndio uwaite mashujaa?
 
Unamvumiliia nani wewe acha kutisha watu wewe champapiro...mchumba tu wewe na timu yenu zomba tume na ma k. Wengine wengi
Mwita Maranya angalia vijana wako wanaanza nikijibu mapigo usilalame najitahidi sana kuwavumilia

Chama
Gongo la mboto DSM
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom