PHOTOS: Msigwa- Daudi Mwangosi Ni Shujaa

Mwakaboko unaniamsha uchungu na hasira kwa maswali yako haya!!!!!!!!!!!!

DAUDI MWANGOSI alikosa nini? mpaka kuhukumiwa adhabu ya kifo na adhabu kutekelezwa haraka haraka na JESHI LA POLISI. D.M alikosa nini D.M alikosa nini? nakosa majibu mwenye kujuA NAOMBA ANIELEWESHE JAMANI
 
Kifo cha Mwangosi ni doa kwa SSM ambalo si rahisi kutakata hata kwa kutumia jiki. SSM haisafishiki kwa hili. Imeshakuwa maji taka.
 
Ukweli uliopo watu wameamka sasa nilifikiri yale mabomu na risasi vingewatisha kumbe hamnakitu

Nimefurahishwa na mwamko wawananchi ccm wanakazi kubwa sana inaelekea hii singo yamwangosi haijaeleweka inabidi watafute nyingine ,nasijui kama zitaeleweka kwani sasa kilimtu kesha stuka

Yaani ccm sasahivi hataifanye nini inazidikujichimbia kaburi hukuwakubwa wakidanganyana ,kitu chenyenchakali
 
Hivi marehemu Daudi Mwangosi {R.I.P} alikuwa ni kada wa Chadema.

Bado mnaendelea kusherehekea mauaji ya wasio na hatia ??
Kumbukeni kuwa damu yao inawafuata ninyi pamoja na vizazi vyenu vyote mpaka mwisho wa maisha yenu, na hakika, damu yenu itamwagwa sawasawa na ninyi mlivyomwaga damu yao hao wasio na hatia.
 
Siasa bana, kifo kinakuwa mtaji wa watu kisiasa, eti kafa kishujaa!

Hapo ungeandika hivi:-
Siasa bana, CCM lazima waue wasio na hatia ili kuendelea kubaki madarakani, huku wakisema 'liwalo na liwe'".
 
Last edited by a moderator:
Siasa bana, kifo kinakuwa mtaji wa watu kisiasa, eti kafa kishujaa!

Mkuu kwanza lazima uelewe siasa ndio maisha,siasa inagusa kila kitu katika maisha ya kila siku,kama siasa ni maisha na Mwangosi alikua katika tukio la kisiasa kwa ajili ya kuwafikishia ujumbe/habari mamilion ya Watanzania ambao si wote wangeweza kufika kwenye tukio ilo,lakini akauwawa kwa matakwa ya watu wachache ambao wasingependa mamilion ya Watanzania wanapata habari hizo ndio maana Mwangosi anakua shujaha!sababu kubwa alikua akitimiza wajibu wake wa kuwawezesha mamilion ya Watanzania kupata haki yao ya kujua yanayoendelea nchini mwao!na kwa kukusaidia,shujaha si lazima awe vitani!
 
Hivi marehemu Daudi Mwangosi {R.I.P} alikuwa ni kada wa Chadema.

Mkuu Ritz;
Nilishakuambia Mwangosi alikuwa kamanda pale kwenye lile tukio na ndio maana yalimkuta yaliyomkuta; kamera tulizonazo unaweza kupiga picha na kuchukua video zaidi ya mita 50 haniingii akilini eti mwandishi wa habari unakuwa ndani ya kiini cha tatizo; kwani habari zenyewe zilikuwa na umuhimu gani kitaifa mpaka ahatarishe maisha yake? Hao kina Msigwa wasanii tuu wape miezi 3 watasahau kila kitu; hivi wanajua familia ya Mwangosi wamekula nini leo?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kifo cha Mwangosi ni doa kwa SSM ambalo si rahisi kutakata hata kwa kutumia jiki. SSM haisafishiki kwa hili. Imeshakuwa maji taka.

Doa kwani CCM ndio waliolazamisha mkutano?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Siasa bana, kifo kinakuwa mtaji wa watu kisiasa, eti kafa kishujaa!

Acha uzushi wewe,unadhani huyu kafia ktk zinaa au akingalia mechi ya simba na yanga?Alikufa akiwa katika risk business()journalims, na kabla yakufa aliona tishio ila haku give in na hakuacha alichokuwa akitaka.Its takes alot of courage to stand that firm in the saddow of death.Wewe kama unaona ushujaa wake CDM wanaufaidi uliko CCM si ukajiue?
 
Copy%2Bof%2BIMG_1979.JPG


Polisi wakimbuluza mfuasi wa Chadema kama si binadamu huku askari mwingine akichangamkia kuiiba skafu yake na kwenda kuificha, jamani picha nyingi tu zaja wanazidi kumwaga hadharani.
 
IMG_1919.JPG


Pichani wa kwanza kulia ndiye mwuaji wa Mwangosi kama anavyoonekana katika picha ya hapo chini? Siwezi kuzisoma vizuri picha kwani machozi bado yananilengalenga machoni nikimkumbuka mpendwa wetu Daud.

img.jpg
 
Mkuu Ritz;Nilishakuambia Mwangosi alikuwa kamanda pale kwenye lile tukio na ndio maana yalimkuta yaliyomkuta; kamera tulizonazo unaweza kupiga picha na kuchukua video zaidi ya mita 50 haniingii akilini eti mwandishi wa habari unakuwa ndani ya kiini cha tatizo; kwani habari zenyewe zilikuwa na umuhimu gani kitaifa mpaka ahatarishe maisha yake? Hao kina Msigwa wasanii tuu wape miezi 3 watasahau kila kitu; hivi wanajua familia ya Mwangosi wamekula nini leo?ChamaGongo la mboto DSM
Sawa anaweza kupiga picha, ila uandishi wa habari si kupiga picha tu. Inabidi awasikie walengwa na ikiwezekana kuwauliza maswali/ kuwahoji ili aandike habari kamili yenye ukweli na uhakika. Mahala pengine si pa kuweka ushabiki, Inasikitisha watanzania tunapoteza utu kwa ajili ya tofauti za kiitikadi.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom