PHOTOS: George W Bush in Tanzania

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
President Kikwete and President Bush at the Ocean Road Cancer Institute where they took part in a tele conference with other dignitaries in the US during a World Aids day meeting at the Washington University in Washington DC. Other speakers included President Barak Obama, Former US President Bill Clinton and others like Bono.

o5.jpg

o4.jpg

bu10.jpg

bu9.jpg

bu8.jpg

bu10.jpg

o2.jpg

bu5.jpg


President Kikwete and First Lady Salma Kikwete with former US President George W. Bush with his wife Laura Bush visit one of the wards at the Ocean Road Cancer Institute where they talk to one of the patients of pelvic cancer.

bu6.jpg

bu4.jpg

bu3.jpg

bu1.jpg



Photos Courtesy of State House
 
Ah sawa bwana, waendelee tu wengine haituhusu sana zaidi ya kuona hali inazidi kuwa ngumu siku hadi siku.
 
Sasa Kikwete akitaka kufahamu kuwa hawa wakina Ngoma wanamzuga, siku moja baada ya wiki hivi aende pale Ocean Road bila taarifa na aingie kwenye yale mawodi alioingia na Bush aone hali halisi ya jinsi wagonjwa wasivyoangaliwa ipasavyo huku wakina Ngoma na msaidizi wake Msemwa wakishuhulikia zaidi hospitali zao huko Mwenge na Kigogo!

It is criminal!!
 
Kikwete amepiga picha na hao wagonjwa hadi anajisikia aibu mwenyewe. Yaani hadi Bush aje ndiyo aende kutembelea wagonjwa.
 
Jamani tujiulize mara nne nne,kuna nini Tz?,sio watu mnafurahia tu ujio wa huyu jamaa,kuna kitu

ukiona moshi unafuka tambuwa kuna moto utawaka mda si mrefu
 
Sasa Kikwete akitaka kufahamu kuwa hawa wakina Ngoma wanamzuga, siku moja baada ya wiki hivi aende pale Ocean Road bila taarifa na aingie kwenye yale mawodi alioingia na Bush aone hali halisi ya jinsi wagonjwa wasivyoangaliwa ipasavyo huku wakina Ngoma na msaidizi wake Msemwa wakishuhulikia zaidi hospitali zao huko Mwenge na Kigogo!

It is criminal!!

Hii ndio inamaliza hii nchi..watendaji wahuni walijificha kwenye utaalamu/experts
 
bush amekaa serengeti siku 4 akitafuta twiga alionona iliaondoke nayo.
 
Nasikia wale wagonjwa wengi wanaolala mule kwenye mabustani kwa kukosa vitanda walipigwa partration na kufichwa kwa muda hospitali za jirani ili kuficha aibu kwa Bush!...
Funika kombe Mwanaharamu apite!...Tumethubutu, tumeweza tunasonga Mbele!
 
Kwa wasomi wetu mnaotafuta kazi hao ICAP wanatoa nafasi nyingi sana za kazi, jaribuni sana kuwatembelea ofisi au site zao mpate nanyi kulitumikia Taifa maana Ajira zetu siku hizi zinaundwa na NGOs...
 
alichojia Bush ni jambo jema labda kama kuna kingine basi JF watusaidie kutuambia hakuna mantiki ya kupuuza kila jambo analofanya kikwete hata kama wewe ni chadema.
 
mengi yataandikwa hapa lakini kwa hili JK tumpe sifa zake kuna watanzania wenzetu ambao hawataokoka kufa kwa siasa za chadema na ccm bali mpango kama huu unaweza kuwarudishia uhai.
 
kama wewe au mimi ndio tungekuwa tumelazwa kwa sarakani pale ocean road ujio wa bush ungekuwa na maana kubwa. Tuna nafasi ya kuona ugeni wa bush hauna faida pengine kwa sababu hakuna hata ndugu yetu anayekaribia kifo kwa ugonjwa huo
 
siasa nchi hii zimefika pabaya hata misaada kwa wenzetu wanaopambana na uhai tunaingiza ubush na ukikwete?
 
Back
Top Bottom