Photos and Videos Only: Gaza Strip

Gaza_08_455206a.jpg


The central security headquarters and prison, known as the Saraya, was hit by an Israeli missile strike in Gaza City. Prisoners were among the injured

Gaza_Dec_30_04_455909a.jpg


Gaza_15_455176a.jpg


A mosque in the Jabalya refugee camp in the northern Gaza Strip was among the targets

Gaza_02_455208a.jpg


"Our goal is not to reoccupy Gaza Strip," Tzipi Livni, the Foreign Minister said, before adding: "Not now."

Gaza_16_455175a.jpg


Gaza_03_455219a.jpg


At least seven children died in the assault as well as hundreds of adults including Palestinian police Chief Tawfiq Jaber, whose family were devastated

 
Gaza_14_455177a.jpg


In a war of attrition fought with high-altitude air strikes or unguided missiles, the casualty lists are messy. According to Hamas sources, one of the casualties of the Israeli air raids was Corporal Gilad Schalit, an Israeli soldier captured in a Hamas cross-border raid in summer 2006

Gaza_09_455184a.jpg


Israeli forces gathered on the border with Gaza as Israel prepared to launch a possible ground incursion into the territory

Gaza_01_455188a.jpg


Protests erupted in Yemen as well as as cities across the world including London
 
Its scaring!
Israelis will pay for their sins!
may their souls rest in peace!
 
Last edited by a moderator:
Huu ni ulevi na kuchanganyikiwa kupita kiasi kwa Israel, wamepagawa, wametahayuri, hawamwamini mtu yeyote sasa, kichaa kapewa rungu, tufanyeje?
Naungana na wale wenye kuwaombea salama watoto, wanawake na wazee wasio na ulinzi hawa, mungu awape subira na uvumilivu wa hali ya juu mpaka nusura itakapofika na bila shaka itafika pale haki itakapoishinda dhuluma, washikamane pamoja sasa kama taifa moja.
 
Jamani Waisrael wametoa kipigo sana,nadhani kwavile wameua hamas wengi wangeacha kuwapiga maana inatosha,tena nadhani itakuwa fundisho kwa watu wachokozi maana hamas wamekuwa wakiwachokoza sana waisrael sasa kibao kimewageukia. Wawaombe wayahudi msamaha na mchokozi ashughulikiwe mapema kabla jambo halijawa mambo.
 
640xcb5.jpg

Israeli paramedics wheel an elderly Israeli woman from a building in the southern city of Ashkelon on January 2, 2009, after she was injured when the building was hit by a rocket fired from the Gaza Strip. The Israeli military pounded the densely populated territory for a seventh day in an operation that has claimed at least 420 Palestinian lives and wounded over 2000, according to medics. The Islamist movement tried to retaliate for the massive bombardment, sending a handful of rockets slamming into Israeli territory. Gaza militants have fired more than 360 rockets into Israel, killing four people and wounding dozens more over the last week.

1000xbs8.jpg

Palestinians look at the destroyed al-Kolafa mosque after an Israeli air strike in Gaza January 2, 2009. Israeli warplanes struck targets in Gaza on Friday and Islamist fighters fired rockets into the Israeli port of Ashkelon, dashing international hopes of a ceasefire to end seven days of fighting.

1000xjw2.jpg

An Israeli rescue worker surveys a damaged house after a rocket fired by Palestinian militants in Gaza landed in the southern city of Ashkelon January 2, 2009. Israeli warplanes struck targets in Gaza on Friday and Islamist fighters fired rockets into the Israeli port of Ashkelon, dashing international hopes of a ceasefire to end seven days of fighting.

1000xxb2.jpg

An Israeli police officer surveys a damaged house after a rocket fired by Palestinian militants in Gaza landed in the southern city of Ashkelon January 2, 2009. Israeli warplanes struck targets in Gaza on Friday and Islamist fighters fired rockets into the Israeli port of Ashkelon, dashing international hopes of a ceasefire to end seven days of fighting.
 
610xsi9.jpg

An Israeli security guard walks in front of a boy dragging a suitcase as Palestinian holders of foreign passports arrive on the Israeli side of the Erez crossing, after leaving the Gaza Strip Friday, Jan. 2, 2009. Israeli army spokesman Peter Lerner says nearly 300 Palestinians are pouring through the Israeli-controlled Erez crossing. For nearly a week, Israel has been bombing targets linked to the ruling Hamas militant group in Gaza.

1000xld7.jpg

Trails of smoke are seen after the launch of rockets from the northern Gaza Strip January 2, 2009. Israeli warplanes struck targets in Gaza on Friday and Islamist fighters fired rockets into the Israeli port of Ashkelon, dashing international hopes of a ceasefire to end seven days of fighting.

1000xze6.jpg


Smoke rises after an Israeli air strike in the northern Gaza Strip January 2, 2009. Israeli warplanes struck targets in Gaza on Friday and Islamist fighters fired rockets into the Israeli port of Ashkelon, dashing international hopes of a ceasefire to end seven days of fighting.
 
1000xml8.jpg

An Israeli soldier (R) helps Palestinians to unhitch a flag entangled in barbed wire during a protest against Israel's offensive in Gaza in the village of al-Masara, near the West Bank town of Bethlehem January 2, 2009.
 
Uchaguzi huo unakaribia Izreael.
Msishangae sasa kwa nini Tanzania kuna Mafisadi. Wanasiasa ni watu hatari sana. Ingelibidi kwenda kuwauwa watusi 400 ili Kikwete ashinde, nina imani angelifanya hivyo. Mugabe anafanya, Kenya hayohayo, Mkapa alifanya....... Ili muradi kuonyesha jinsi alivyo MWANAMUME WA SHOKA.
Hapa kweli wa kuhurumia ni Watu wote waliokumbwa kwenye hii vita vya TEMBO. Kama Wayahudi kweli wanaume, si waende Iran au warudi tena Lebanon? Au hata Syria. Ila huko wanajua itakuwa ni vita vya Ben na Anna, kesho mmoja ana POP mkononi na mwingine ana POP mguuni na fimbo yake mkononi.
Wayahudi ni watu wenye akili sana duniani na pesa nyingi sana. Nashindwa kujua na akili, pesa na maguvu yote hayo wameshindwa kuumaliza mgogoro huo na Waarabu. Hii inanikumbusha ile film ya Predator Vs Aliens. Wamefanya Palestine sehemu ya vijana kwenda kufanyia mafunzo ya KIJESHI. Siku USA litakuwa taifa la kawaida, watakuwa na hali ngumu sana.
 
Icadon,
Nitoke nje ya TOPIC. Kuna habari nimepata kuwa Ghadafi alienda Nigeria na msafara wa wanajeshi na bunduki zao kama Walinzi (kwenye ndege moja na Rais). Kufika hapo Airport na jeshi lake, wakawazuia jamaa wote wenye silaha na kuwanganya/kuwaingiza kwenye ndege na kuwarudisha Libya. Hivi sheria inasemaje katika Diplomatic level? USA rais wao anavyokuja na Walinzi wake huwa inakuwaje? Au kwa sababu huja wao mapema na si wanateremka na Rais kwenye ndege? Inatakiwa kuwa na walinzi wangapi au ni makubaliano? Tumebishana juu ya hilo swala nikaona ngoja tukuulizie. Samahani tena kwa kuruka nje ya Topic wachangiaji.
 
Duh naona niko fast sana ngoja nipumzike kidogo
mou.jpg
 
Hivi ni mimi au its pathetic kuandamana kupinga mauaji ya Israel uku wakiwa wamebeba missiles za bandia na mikanda ya mabomu ya bandia?
288oaw4.jpg

Musim protesters carry mock rockets during a rally against Israeli military strikes on Gaza, in Jakarta, Indonesia, Friday, Jan. 2, 2009. More than 10,000 Muslims marched through Indonesia's capital on Friday to protest the ongoing bombing raids in Gaza.

610xwo6.jpg

Palestinian boys holding the Quran, Islam's holy book, and a fake rocket during a rally called by Hamas and the Islamic Jihad groups to protest against the Israeli offensive on the Gaza strip, in the Ein el-Hilweh Palestinian refugee camp near the southern port city of Sidon, Lebanon, Friday, Jan. 2, 2009

610xls9.jpg

Demonstrators shout anti-Israel slogans during a protest against Israel's attacks on Gaza, at Amman stadium January 2, 2009

610xgp8.jpg

Palestinians from Hamas and the Islamic Jihad groups march during a rally against the Israeli offensive on the Gaza strip, in the Ein el-Hilweh Palestinian refugee camp near the southern port city of Sidon, Lebanon, Friday, Jan. 2, 2009
 
Watanzania nao hawakuwa nyuma kwenye kuandamana.
610xqm1.jpg

A Tanzanian Muslim demonstrator shout slogans, during a protest, Friday, Jan. 2, 2009, in Dar es Salaam, Tanzania, to protest against the Israeli military strikes in the Gaza strip. The Muslims said they will not rest until Israel stops striking to the Gaza strip.
 
Watanzania nao hawakuwa nyuma kwenye kuandamana.
610xqm1.jpg

A Tanzanian Muslim demonstrator shout slogans, during a protest, Friday, Jan. 2, 2009, in Dar es Salaam, Tanzania, to protest against the Israeli military strikes in the Gaza strip. The Muslims said they will not rest until Israel stops striking to the Gaza strip.

Bua ha ha ha..

Really pathetic and stupid too..
 
Icadon, na Mtindio,

mimi nachanganyikiwa sana juu ya haya mambo ya kulaani Israel kwa maandamano. Ushasikia kama tumelaani Nkunda alivyoilawiti DRC? Na Kony je alivyowachinja watu karibu 500 hivi juma la Krismas?

Hakuna mwenye habari na wanayoyapata ndugu zetu, jirani zetu nutaopeana mgongo kule Kigoma.

Tunasikitika Israel na Palestina...je ni masikitiko ya kweli au ushabiki tu?
 
Eti watanzania wanaandamana kisa wana uchungu na wa palestina!! lini wameandamana kwa jazba vile kwenye matizo yetu? au sie sio watu? inatakiwa tuwe na jazba zaidi kwenye maandamano ya matatizo yetu zaidi, kama vile mauaji ya albino, mfumuko wa bei uliosababisha umaskini wa kutupwa katika Tanzania ya leo!, Unyama wanaofanyiwa ndugu zetu wa damu kabisa huko Kongo n.k
Wayahudi wanawapiga adui zao wanaovizia vitoto vyao vya shule na kuvilipua, wanaoua raia wao kwa kujitoa mhanga,wanao rusha makombora kila siku katika ardhi yao na kuua raia wao n.k Kwamtu yeyote yule lazima agewatandika tu adui zake, yaani wayahudi wakae kimya tuu.. wakati hammas wanarusaha rocket wastani wa 18 kila siku kwa muda wa miezi sita!!!
Itabidi watanzania hawa watueleze wanapata wapi ujasiri wa kuwalilia watu wa mbali wanaovuna walichopanda!?
Hivi Shivji kama kweli yeye ni mpigania haki za binadamu, atatueleza nini jinsi jamii yake ya kihindi inavyoona najisi na haramu kwa wahindi hapa Tanzania kuoana na watanzania weusi hadi inafikia hatua ya kuwaua wahusika? au hata yeye yuko tayari kumuoza mwanae kwa mtanzania mweusi?
Yaani anawapenda sana wapalestina kuliko watanzania??
Ndugu zetu hawa inabidi wabadilike na kuutazama ukweli, bila hivyo watakuwa hivyohivyo hadi mwisho wa dunia. NIMESEMA.
 
Mimi nimefikilia sana kwanini waandamane kisa mtu kajibu mapigo nkashindwa kuelewa labda mnisaidie nielewe, Kama somalia,darful na congo mauaji yametokea wanauwawa watu wasio na hatia alafu watanzania mnakaa kimya leo warabu wanajibishana mapigo mnaandama tuwaeleweje? Tumche Mungu jamani. Huo ugomvi hautuhusu kamwe kama haki turekebishe hapa home mauaji ya Albino kwanza au albino sio watu hao hamas wachokozi ndo watu? Loh!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom