Photocopy Machines Zinauzwa

Kagalala

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
2,403
1,132
Wadua
Nina photocopy machines zinauzwa kwa bei ya chini kabisa (fast sale) kama ifuatavyo

Canon NP6028 TZS 700,000
Canon NP6030 TZS 700,000
Canon IRC3220 TZS 1,500,000 (ya rangi)
Canon IR2270 TZS 1,900,000
Canon IR2870 TZS 1,900,000
Canon IR2800 TZS 1,900,000
Canon IR3570 TZS 2,600,000

Na nyingine nyingi

Kama unahitaji photocopier yoyote ya rangi au b&w basi niPM au piga simu 0715 497079. Tuko Dar es Salaam, Magomeni Mapipa, Seaboys Plaza
 
Kaka warranty imekaaje? na hizi machine zinaambatana na accessories zake?
 
Je ni mpya au mitumba?
Mkuu kwa hii bei lazima ni mitumba.., halafu hizi np series (majembe ya kweli zinapiga kazi sana) huwezi kupata brand new kwa sasa as canon walishaacha kuzitengeneza wakaamia kwenye gp series na sasa wapo kwenye ir series (image runners) kwahio usitegemee kwamba utapata np series brand new (ila ni mashine nzuri kwa biashara)
 
Asante mkuu, vipi kuhusu warranty?

Mashine zetu zote zina warranty ya miezi 3 isipokuwa hatuwezi warranty kwenye issue za umeme na tunashauri mteja awe na stabiliser kwa sababu ya matatizo ya umeme wetu
 
uu zitakuwepo mda mrefu au ni biashara ya msimu? maana nahitaji ku raise mtaji wangu, baada ya miezi ka mitatu ntahitaji.......photocopy machine,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom