Photo:sugu mbunge enzi akiwa shule

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
Sugu aka mbunge wetu jembe enzi zake akiwa bado shule. Ni huyu wa katikati aliyevaa kapelo.Kumbe tumetoka mbali sana. kutoka levo hizi mpaka uheshimiwa!! Big up sana SUGU aka THE JOSEEEEEEEE...
 

Attachments

  • sugu.jpg
    sugu.jpg
    21 KB · Views: 736
yp ni hatua sana kutoka mtoto wa kitaa mpaka mjengoni

Ni kweli alafu na wewe mkono wa kushoto wa hiyo picha, sasa tumekufahamu pamoja na ID yako hiyo ya asigwa na unastahili sasa kuwa verified user kuanzia leo baada ya kuleta picha mliyopiga na Sugu
 
Last edited by a moderator:

Duh nasikia enzi hizo alikuwa mtoro kweli mwalimu wa hisabati akitia mguu Sugu anaruka dirisha,maisha sawa na kend .. za mbuzi leo ni mheshimiwa sana.


attachment.php
 
Back
Top Bottom