Photo copy machine ni kiasi gani madukani na wapi nitapa nzuri?

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Jamani ninaomba wana jamii forums nipatieni bei ya photo copy machine size ya medium sio ile kubwa
maan sina hela nyingi sana
je ni bei gani sokoni na wapi nitapata ya uhakika?
Asanteni
 
Nenda pale SENGA & CO. mtaa wa Jamhuri na Chagga utapata kitu cha uhakika na bei nafuu.
 
Back
Top Bottom