Philipo Mulugo nusura amalize hasira zake kwa mwanafunzi

Daah! kwakweli nimeshindwa kusikitika nimecheka sana, hii ni noma sijui amepata nafasi ya kujisikiliza au vipi.
 
After i went through other presentations at the same summit, this is my analysis, THREE
IMPORTANT THINGS to note:
firstly, knowing english and speaking english are two different things,

secondly, he was nervous and thought he said what he read (if you check slides it says Zanzibar not Zimbabwe),

third, he didnt have a command of the language and kept reading, if you check other presentations, some junior representatives in other countries Education ministries gave lectures with indepth analysis WITHOUT relying on their slideshows.

conclusion, This means our 'bright graduates from UDSM' can't compete at regional, let alone global stage if a chance arises.
= = =
Armani Adams MSc, BSc (Hons), Dip.
Bible, ILM.
London, UK.

Source: comments toka issamichuzi.blogspot.com

mkuu anawaonea wasomi wa havard ya tanzania
 
Mkuu the guy is not a graduate from UDSM (The Hill), he is "kilaza" who even failed to obtain division III at A level and obtain his BSc from Open University after struggling for seven (7) years!!!
 
Hakya Mama tunaongozwa na vilaza wenye nafasi zao wako mtaani ,ndio maana hii nchi hutendelei sasa huyu hata ukimletea andiko ataweza kulisoma kuchambua na kulipitisha yaani angekuwa bosi wangu ningestaafu mapema nakalime maana angenipotosha.

kwaiyo cc wenye bosi wetu unatuambiaje wee kenge???
 
Mkuu mimi nilikuwa natoa maoni yangu tu hapa sasa hilitusi la nini labda ? Nafikiri hili tusi mwambie Baba na Mama ako huenda hawakukufundisha adabu vizuri kuheshimu wengine. kweli mtoto wa kenge ni kenge tu.
 
Ndio anawaambia "mstaafu mapema mkalime maana atawapotosha"! Kwi kwi kwi iiiii usinitukane hayo sio maneno yangu ni ya Mnama
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mimi nilikuwa natoa maoni yangu tu hapa sasa hilitusi la nini labda ? Nafikiri hili tusi mwambie Baba na Mama ako huenda hawakukufundisha adabu vizuri kuheshimu wengine. kweli mtoto wa kenge ni kenge tu.

sikia wee kenge, watz mna shida sana kuambiwa ukweli..ukiwa na mawazo ya kikenge watu watadhani wee kenge au wafanana na kenge..so hapo tusi liko wapi?? ni kama kumwita mwanaume wanayemnanihii shoga..utakuwa umemtukana wakati ndo jina lake??kwa mawazo yako hapo juu hata kenge wenzio hawatakuheshimu, respect is earned wewe umesikia sio unatapika vumbi unaambiwa ukweli unaanza eti kawaambie baba na mama yako ahahaha hiyo kwangu ni sifa...
 
Ndio anawaambia "mstaafu mapema mkalime maana atawapotosha"! Kwi kwi kwi iiiii usinitukane hayo sio maneno yangu ni ya Mnama

nyie wawili mnatakiwa mkapimwe jinsia sio bure.....maake sio wavaa suruali wote ni wanaume ahahahah sawa tutastaafu tuje fanya kazi yenu iyo.....
 
Hii inaonesha jinsi ulivyo na uwezo dhaifu wa kufikiri, kwa hiyo kwa mtazamo wako mwanaume ni bora kuliko mwanamke?
 
sikia wee kenge, watz mna shida sana kuambiwa ukweli..ukiwa na mawazo ya kikenge watu watadhani wee kenge au wafanana na kenge..so hapo tusi liko wapi?? ni kama kumwita mwanaume wanayemnanihii shoga..utakuwa umemtukana wakati ndo jina lake??kwa mawazo yako hapo juu hata kenge wenzio hawatakuheshimu, respect is earned wewe umesikia sio unatapika vumbi unaambiwa ukweli unaanza eti kawaambie baba na mama yako ahahaha hiyo kwangu ni sifa...

Chapa mwendo Bwa2 wewe.
 
Back
Top Bottom