Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,195
Bomoa hadi ikulu kwa vile unadhani bomoa za hovyo ni akili na maendeleo.Hata nchi zilizoendelea mika mingi wana miti ambayo mipango yake ni makini..ila hawabomoa majengo ktk hiyo miji zaidi ya kuifanya ikalike vyema.Tz haijawahi weza pima hata robo ya nchi achilia mbali kuwa ramani moja ya huko walipopima sasa ukivunja nchi nzima zi bora ukaanzishe mijini mingine?MchunguZI na Arafat inaonekana kama mmetumwa kumchafua Magufuli kwa record yake ya utendaji katika serikali. Katika mawaziri wote wa CCM, hakuna mwenye record nzuri ya kufanya kazi na kusimamia kama taratibu, sheria, kanuni na maamuzi mengine ya baraza la mawaziri (Japo la ovyo ovyo) kama Magufuli. Kwa vigezo vyote ukimlinganisha na mawaziri wengine, yeye ndo anaonekana ana-afadhali ya kuweza kuweka competition kwenye kinyang'anyilo cha urais katika uchaguzi ujao. Sasa mmeanza kumchafua kwa sababu za kijinga wakati watanzania wengi wanamkubali. Magufuli ni mtendaji mzuri na anayesimamia maneno yake, wengine ni wasanii wakiongozwa na mkuu wao na kiongozi wao. Magufuli chapa kazi, hata siku ikitokea ukajenga fly overs, usiangalie nyani usoni, bomoa mpaka Ikulu ikibidi. Tunataka maendeleo ya miaka elfu moja mbele siyo ya miaka mitano.