PhD na Degree za Mwezi Mmoja: Jamani hii inaingia akilini kweli?

zipo degree za aina nyingi therefore ask them the kind of degree wanazotoa, inawezekana ni degree za kucheza na watoto
 
Yote haya hayasaidiii labda tubadilishe tactics i.e. tuanze kuwavamia tunaojua kweli ni mafisadi na kuchoma mali zao. Ni wazo tu.
Yaani unashauri tufanye kama walivyomfanyia yule mbunge wa Moshi wee babangu, siyo?
Kabla ya hilo tutumie diplomatic means ikishindikana tutafika huko tu!
 
Tena hafanye haraka kabla ya mwaka kuisha maana uchaguzi ndio huo. Unanukia nukia.

Jiandikishe upate digrii yako. Unaweza kuukwaa uwaziri au uwaziri mdogo kwenye serikali ya JK

Jiunge nao kwanza then angalia kama inalipa au la! Si wamekuhakikishia witin a week unapata pichidii yako... tatizo ninni!?

teh teh teh teh teh!!!!!!!!!!!!!!! uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Vyuo hivi ningewaona wa maana kama wangeamua kutuletea huku phd ya kupambana na ufisadi kuliko hizo za kuokota kumbikumbi na senene.
 
zipo degree za aina nyingi therefore ask them the kind of degree wanazotoa, inawezekana ni degree za kucheza na watoto

Nitatoka nje ya mada kidogo kuhusu huyu ndugu wa hii post hapo juu.

Labda watoto wa TZA siyo wa unyamwezini au kwingineko kwani kama unaingia in welfare services industry watakiwa uwe na children knowledge na uSIwe (WITHOUT CHILD SEX ABUSE or (any criminal attended). Hizo ndiVYo baadhi ya vigezo kama unaitaka digree ya watoto. Na kazi zake zinalipa asikutanie mtu.

Manesi kutoka Afrika wanakwenda nchi kama Austrlia na uraia wa kudumu hapo hapo kwani ni hadimu sana.

Welfare services Ughaibuni inazingatia sana watoto mjomba siyo hapo TZ watoto mnawaonea, hamuwajui, mnawaibia, wizi mtupu. Mwuulizeni ROstam na wengine na wewe mwenyewe watoto wa TZ mmewafanyia program gani kwenye bunge hili la mwaka huu kwani hakuna hata moja ya program kuhusu watoto iliyotajwa.

Shame on you TZ
 
Last edited:
Nini tatizo
mimba inaingia siku moja
unatoa sehemu siku moja unapata kazi sikumoja
unatoongoza sikumoja unapewa sikumoja na mwenye ohd nini tatizo kukupa phd
nini bananaa wewe sema taka phd ya wapi bana tukupatie fasta
 
Back
Top Bottom