PH balance: Godfrey Dilunga usitafute usawa kwa kupindisha ukweli

Nyakageni

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
15,046
5,092
nimefuatilia kipindi cha tuongee asubuhi na nimesikitishwa sana na tabia ya Godfrey Dilunga anavyotumia vibaya weledi (profession) wake. Ameingia kwenye kipindi na mentality ya kutaka kutetea serikali kwa makosa yake, kama:
1. Kutetea serikali kuchelewesha muswada. Dotto Bulendu wa StarTV kamjibu vyema, mbona redion hawakutoa? Kipi kinafikia hadhira kubwa?
2. Kamkosoa Ansbert Ngurumo kwa kuwa na mentality ya kutaka kuwa neutral
3. Kutetea makosa ya spika kutumia ubabe kwenye kamati na kuharibu mchakato

my take:
'CALL A SPADE, SPADE and not A BIG SPOON'
 
huyu Godfrey Dilunga si yule mwandishi wa raia mwema ambapo katika dokezo la wadau ameandika "wabunge chadema wamedanganyika?"
 
ndiyo yeye mkuu. Naona pia hajui 'debate parameters' kwani anaongea wakati mwenzake anaongea. Mpaka kamkwaza Ansbert Ngurumo
 
nilikuwa najiuliza sana kwa nini nimekuwa mgumu sana kununua gazeti la raia Mwema,leo nimepata majibu thabiti.
Mr Dilunga hayuko huru ktk kujenga hoja, anaegemea sana serikalini kwa kutetea kila kinachosemwa...amefikia hatua ya kumuingilia Ansbert Ngurumo akiwa anaongea ili tu mautetezi yake ya serikali yasikike ....hii siyo sawa na waandishi wa namna hii ndo wanaodhoofisha utendaji serikalini kwa kuifanya ijione iko perfect kwa kila kitu wafanyacho.
Mauteuzi ya watu kama Rweyemamu IKULU ndo yanayoongeza idadi ya wanaojipendekeza among waandishi....na hii italicost taifa huko tuendako.
 
@ vakwavwe, mi binafsi imenisikitisha sana. Anajaribu kuwa neutral kwa kupinga ukweli na kutetea uovu
 
nilikuwa najiuliza sana kwa nini nimekuwa mgumu sana kununua gazeti la raia Mwema,leo nimepata majibu thabiti.
Mr Dilunga hayuko huru ktk kujenga hoja, anaegemea sana serikalini kwa kutetea kila kinachosemwa...amefikia hatua ya kumuingilia Ansbert Ngurumo akiwa anaongea ili tu mautetezi yake ya serikali yasikike ....hii siyo sawa na waandishi wa namna hii ndo wanaodhoofisha utendaji serikalini kwa kuifanya ijione iko perfect kwa kila kitu wafanyacho.
Mauteuzi ya watu kama Rweyemamu IKULU ndo yanayoongeza idadi ya wanaojipendekeza among waandishi....na hii italicost taifa huko tuendako.

Mimi karibia miezi 3 sasa sisomi makala za Dilunga baada ya kuona makala zake zinatumika kumfagilia waziri mmoja mwandamizi anayetajwa kufanya kampeni za chini chini kuwa mgombea urais kupitia CCM mwaka 2015. Sasa naona ameanza washambulia CDM.
 
naanza rasmi kutomwelewa GODFREY DILUNGA na kumuhukumu kama mtu anayetumiwa. JENERALI ULIMWENGU be warned
 
si lazima aseme unachowaza wewe 'he 's neutral and freeman' big up dilunga p1 sana mkuu

nami nalitambua hilo lakini anapokuwa spin doctor (mpotoshaji) kwa kulazimisha kuwa neutral hiyo siyo fair. Alikuwa akiongea na mamilioni ya watu ambao wanaweza kuspread habari. Yeye anafanya kazi kama mhimili wa nne
 
Huyu jamaa nilikuwa mfuasi mkubwa wa makala zake siku za nyuma alipokuwa anaandika makala nzito kama UNAHITAJ4KA UASI, KAMA SI MIMI NANI? Na kama si sasa, LINI? Nk ambazo zilikuwa za kimapinduzi kwelikweli.
Zilinifanya niongeze morari wangu wa kuamsha mapinduzi ya kif4kra miongoni mwa vijana wenzangu.
Lakini siku hizi kapotea kabisa.
Sasa najiuliza, je, alifaoya vile ili kujitafutia soko kwa mafhsadi, wamnunue ili awe vuvuzela lao, au ndo weledi wa uchochoroni unaowaumbua makanjanja?
Very shame on him
 
mkuu mi nahisi keshanunuliwa tayari. Anatakiwa ajue kuwa kuna wengi wenye akili zaidi yake!
 
Lazima muanze kukumbuka historia ya raia mwema, naanza kuhisi hata kina Ulimwengu mmmmmmhhhhh, kwani wakiwa Rai gazeti lao lilichangia sana kumharibu Salimu, sasa na huku raia mwema, huyo mwenzao Dillunga ndiyo kama anavyoonekana, sijui tutasoma gazeti gani kwa uhakika
 
mkuu mi nahisi keshanunuliwa tayari. Anatakiwa ajue kuwa kuna wengi wenye akili zaidi yake!
huyu alianza mara baada tu ya kw4sha uchaguzi mkuu mwaka jana. Kabla na wakati w6te wa mchakato wote wa uchaguzi, alikuwa neutral kweli.
Nadhani jamaa alitegemea sana cdm wangeshinda uchaguzi ili apate nafasi serikalini, lakini baada ya matokeo, jamaa amenyea kambi.
Kwa mara ya kwanya ni baada ya cdm kutoka nje siku ya kikwete.
 
pia anajaribu kubadilisha waandishi wote wafikiri kama yeye. Kamkwanza Ansbert Ngurumo na baadaye akatoa cheko la kebehi
 
Pesa mbaya maana hakuwa nyutro kama anavyotaka watu waelewe, Dilunga ni kama Kabudi wanatafuta kazi serikalini wavune
huyu Godfrey Dilunga si yule mwandishi wa raia mwema ambapo katika dokezo la wadau ameandika "wabunge chadema wamedanganyika?"
 
Njaa mbaya sana hasa kama unazaliwa na kukulia katika familia duni. Dilunga anauza utu wake kwa kipande cha mkate wa ahadi, kwani anajipendekeza ile mbaya. Subiri muone kwenye makala yake ijayo atakavyo watetea Ngeleja na majambazi wenzake.
 
Back
Top Bottom