Peugeot

Hiyo 206 ni old model kama unapenda Peugeot ingine karibu na hii ni 207 ipo bomba

Jamani Peugeot bado wapo wanatoa magari mapya

Wanapanda na SUVs pia

Wana mpya 508, 5008, 308, 3008 etc

Hiyo 206 ni old model kama unapenda Peugeot ingine karibu na hii ni 207 ipo bomba

Jamani Peugeot bado wapo wanatoa magari mapya

Wanapanda na SUVs pia

Wana mpya 508, 5008, 308, 3008 etc

senkyuu!

Peugeot ni gari nzuri sana hasa latest models,ni excellent cars ukilinganisha na gari za Japan,watu wanazipenda na wanalijua hilo,tatizo la gari za europe ni spare hasa kwa sisi wenye vipato vya kuvizia,ila kama una hela siyo tatizo,watu wanadiriki kununua Lamborghini ambazo katika nchi nzima mnaweza kuwa wawili au watatu lakini inapokuja case ya spare wanaagizia direct from Italy,kwahiyo swala hapo ni pochi lako tu.

They call it car of Africa. Imara sana. Spare tatizo

Kuna mtu anaitwa Nathoo(Natu), anaweza akakuagizia. We have Peugeot 607 na vifaa vingi tunaagiza kwake. Lakini pia hua tunaagiza UK kuna watu nawajua ambao wanaweza kukuletea huku. Ni wewe tu bajeti yako ila dunia siku hizi ndogo vitu vinapatikana.

Jamani wadau nisaidieni kwa wale wanaojua mambo ya magari vizuri hivi gari aina ya peugeot spare zake zinapatikana kwa hapa nchini bila matatizo au ni matatizo kama za bmw na honda?

Ni-PM mimi naleta spare ya aina yoyote ya gari yoyote ya EUROPE....engine,geabox mpaka wheel nut!

RRONDO spea za peugeot za zamani pia unaleta? Natafuta za peugeot 504 pickup

Attachments

• peugeot-504-pickup-01.jpg
peugeot-504-pickup-01.jpg
34.8 KB · Views: 54

Similar Discussions

Back
Top Bottom