Peugeot

Loly

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
509
209
Jamani wadau nisaidieni kwa wale wanaojua mambo ya magari vizuri hivi gari aina ya peugeot spare zake zinapatikana kwa hapa nchini bila matatizo au ni matatizo kama za bmw na honda?

Hapa bongo zinapatikana kwa shida kidogo hasa spare kubwakubwa ila vitu kama balbu zinapatikana ,nipm nitakupa contact za mtu anayeenda nairobi mara kwa mara kule zipo nyingi sana.

Kama unazungumzia 504 hiyo vipuli ni vingi sana hadi cha tsh 150 kipo pia uwa tunavichonga sido kama havipatikani.

Hebu nenda Morogoro automobile, wapo kisutu wanaspare za magari karibia aina zote toka EUROPE. kama utakosa ni in box aina ya spare then nitakutumia toka Nairobi. Usihangaike sana mimi mwenyewe nilipata tabu kidogo na spare ila kwa sasa naenjoy na European Vehicle

thanx smart kuna gari moja kali aina ya peugeot206 nimeiona kwenye mtandao nimeipenda sana nataka niagize ndio nafanya risachi ya spea kwanza nisije nikachemsha

drive ur dream car loly

................Kama hiyo 206 ni new model itakusumbua ila hizo za kizamani,504(guruwe) ziko spea nyingi hasa arusha,moshi,nairobi....!!kama yard yako inagari kadhaa,agiza maana hata ikileta shida na unatafuta spea atleast unatoka na vya zamani

Jamani wadau nisaidieni kwa wale wanaojua mambo ya magari vizuri hivi gari aina ya peugeot spare zake zinapatikana kwa hapa nchini bila matatizo au ni matatizo kama za bmw na honda?

hivi hili ni jukwaaa gani vile

................Kama hiyo 206 ni new model itakusumbua ila hizo za kizamani,504(guruwe) ziko spea nyingi hasa arusha,moshi,nairobi....!!kama yard yako inagari kadhaa,agiza maana hata ikileta shida na unatafuta spea atleast unatoka na vya zamani

thanx kwani spea zinaweza zikaingiliana japo ni model tofauti?

0
0

Jamani wadau nisaidieni kwa wale wanaojua mambo ya magari vizuri hivi gari aina ya peugeot spare zake zinapatikana kwa hapa nchini bila matatizo au ni matatizo kama za bmw na honda?
Hizi Peugeot ni kwani bado zipo? Manake hata mtaani siku hizi sizioni.

zipo kama kawa tena new model ila nazani tz haziji hizo gari ni nzuri balaa sio kama zile za zamani au jaribu kucheki kwenye mtandao peugeot 206

0
0

Similar Discussions

Back
Top Bottom