Peugeot 504 pick up( 1992) for sale at low price

Nyamburi

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
306
36
Peugeot 504 pick up ya 1992 inauzwa,iko katika very good condition kuanzia engine,body everything is in perfect condition,inatembea,na haina tatizo lolote!bei ni 3'300'000/= contacts:0713670026

pijo.JPG pijo 3.JPG pijo 2.JPG
 
Jamaa muuza kajiwahi kusema "inafaa kwa kilimo na ufugaji" Hapo tu sina comment sijui ni treckta?!
 
Jamaa muuza kajiwahi kusema "inafaa kwa kilimo na ufugaji" Hapo tu sina comment sijui ni treckta?!
Hahaha....hapana mkuu infaaa kwa shughuli yoyote,ila wakulima na wafugaji ndio wadau wakubwa wa hizi pick up,otherwise inafaa kwa shughuli yoyote ile
 
kama nin nusu - na zingine baadaye je??

inatumia petrol au diesel

asante
 
Mkuu vipi gari bado ipo?kama ndio je muonekano wa kwenye picha ndivyo ilivyo au?je kwa 2.8m hatuwezi fanya biashara kaka?
 
Kuna moja kama hiyo nimeiona mitaa ya Kijitonyama kama unaelekea queen of Sheba>... nayo iko kwa Sale nahisi ndio hii hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom