Petition: Lowassa and Sitta should be removed from Powers

I beg to differ na REV KISHOKA

In my opinion this is another form of USHABIKI ambao i wont be part of.

Of all the pile of rubbish of rulers we have mnataka kunaimbia kuwa LOWASSA na SITTA ndio hawafai?

lets be realistic how about having a realistic petition kama vile ya kutaka baraza la mawaziri lipunguzwe, kubadilisha katiba ambayo itakuwa inclusive na siyo kuwatenga minorities, au katiba ambayo itawezesha utaratibu mzuri wa CHECKS and BALANCES na kwani hapo ndipo tutajua majibu ya maswali kama vile:

-LOWASSA AU MAWAZIRI WETU 60 NA OFISI ZAO ZINATUMIA KIASI GANI PER DAY

-NI NANI ALIYEKUWA ANAPUSH MRADI WA KUJENGA UWANJA WA TAIFA PALE TEMEKE BADALA YA BARABARA KULE KISARAWE

-HAWA GHASIA AMESHAACHIEVE NINI TANGU ACHAGULIWE

etc etc


U r absolutely right u spot it on! We have saying this time and again dat our priorities are pressed up side down. Instead of dealing with realistic issue we concentrate on non issue.

Kitila used to say tong'oe mzizi sio kukata matawi....
 
Me nadhani wazo la mchungaji ni zuri sana lakini problem kubwa ni kwamba hatuna bunge kwani ukiwa na wabunge zaidi ya 270 kati ya 300 ni wa ccm ambao wapo kwa ajili ya chama na sio nchi wala wananchi,kitu hicho cha mch kutokea ni ngumu sana.

Kuna njia nyingine ambazo huko nyuma zimeshawahi kutumika kama maandamano kwanini tusianze na hilo? Miaka ya 70 wanafunzi wa UDSM waliandaman kupinga nyongeza ya posho za wabunge, iliworkout, cant this be done leo? Viongozi wa upanzani (ushindani) kwa mfano wanashindwa nini kuorganize maandamano kuwashinikiza meghji,mramba na mgonja waachie ofisi. Unajuwa hili linawezekana Tanzania peke hakuna kwingine kwamba serikali imepoteza mabilioni ya walalahoi waziri wa fedha anasema nilidanganywa na anaachwa anaendelea kupeta imetoka-what a rubbish jamani? Is JK serious, do we really have a president au mshikaji tu fulani asiye na uchungu wa wale waliomweka ikulu?

Kitu chochote kinachohusu kupiga kura kikawahusisha wananchi, in my opinion kwa TZ bado sisiem wataendelea kupeta tu kwani wapiga kura makini hakuna kabisa TZ. It's like watz hawajui connection iliyopo kati ya umaskini wao uliokithiri na sanduku la kupigia kura. Mpaka walijuwe hili ndio kitaeleweka, otherwise ni ngumu. Na sifahamu ni lini watazinduka na kuling'amua hili.
 
Chukulia we have 100% way ya kuwaondoa hawa viongozi wawili na wengine mafisadi. Bado ni very wise to give them strong warning by voicing ourselves kwenye vyombo kama JF, magazeti, radio, Maadamano etc. Wana haki ya "kuonywa" toka kwa wananchi wanaowaongoza. Yes this is THEORETICAL PART of the MOVE!!! BUT it has its significance in any movement kabla ya Physical ACTION ei kuwaondoa kwa njia yeyote ile. Lazima wasemwe kwanza...Nahilo liedelee mpaka tutakapopata lingine. SASA KAMA HUJAPTA LINGINE TUFANYEJE? """Tutasema"" Huwezi kuniambia Hawa viongozi hawapati atlist preliminary SHOCK_OF_TRUTH of what we are doing here, hata kama hawabadiliki lakini sio sawa na kunyamaza. Na waache wafanye makosa ya kufikiri it is not working. Maana inatupa urahisi kwa next MOVE.

Huu sio ushabiki!!! To some unaweza kuwa ushabiki..it depends on how you take and where you postion your self!!! THE THING IS WE ARE SERIOUSELY WARNING ALL THE MAFISADI OF TZ. WASISEME WANAPENDEZWA NA TUNACHOFANYA HAPA..AND KWA KUANZIA WE ARE HAPPY WITH THAT.

KWA ONYO HILO: Linawapa Viongozi wowote watakao chukua uogozi badaye..Kujua what happened kwa hao tutakao waondoa. watakuwa na Ref: Na Maonyo haya toka kwa wananchi yanatoa Muda wa kujitafakari na kubadilika kwa wale ambao wanapata maonyo yanayotolewa kilasiku hapa JF. Wachache "watashirikiana" na watakuwa reformed na kuwa "Wototo wazuri na wana halisi wa Tanzania.". Tunasema that is Good for them. Wame make use of our efforts at JF na kwingine kokote,hata kama ni mmoja atakeyabadilika.

Na hawa vichwa ngumu kama wanafikiri ni ushabiki..wait and soon they will see! Ndo maana we have to keep on working..what is wrong with that? Baada ya kutoa Maonyo na vilio vyetu then hatulali tunaendelea kufikiria Practical ways za kuadvance.

Njia Anayotoa REV.Kishoka to me its ok ni moja kati ya amabazo zipo...anybody can breang HIS/HER's. Lakini kabla hatujapta muafaka kamili kwa vitendo haina maana Tunyamaze tuache kupost maana tunapoteza muda. Kama huna UTATUZI KAMILI kwa sasa hata kusema na kulalamika kwa nguvu zako zote usishindwe Lazima kuendelea to do what ever can be done iwe ni theory tupu au kwa vitendo hata kidogo tu. Hakuna kushinda chochote kwanza kabla hakijawa "pure concept" before kuwa "Pure ACTION!!!!"
 
Unajua hapa JF tabia ya kupiga kelele ni kubwa sana. Tunataka angamiza ufisadi! Viongozi wawajibike na kelele mia.

Wabunge hamna uwezo kuwaondoa kwenye Bunge mpaka mjiandikishe vijijini, mige kura na Chama kiafiki.

Mawaziri hamwezi kuwang'oa mpaka Rais aridhie.

Lakini Waziri Mkuu na Spika, kwa mujibu wa kanunui na taratibu za Bunge, wao pamoja na kuteuliwa kwao na kupigiwa kura, Mbunge yeyote akiwasilisha mswada kuomba waenguliwe, mswada huo ni lazima usikilizwe na Bunge zima na kura ipigwe.

Sasa sijui nyie mnaodai huu ni ushabiki au kupoteza muda mmesma hizo kanuni na kujua nguvu wananchi walizonazo au la!

Hata kama kura za kuwaondoa zikizidiwa na watakaosema hawa wanafanya kazi safi, jiulize vichwani, machoni na masikioni mwa Watanzania ambao wanateseka kila siku kuwa umasikini na unyonge huku wakisikia viongozi wao wanapeta na kuwatimulia vumbi na mashangingi kuhujumu nchi kutatokea nini?

Kama unaona njia hii haifanyi kazi, basi inua mikono na unyamaze na kamwe usivimbishe misuli eti kila mtu afukuzwe kazi huku vitendea kazi huna!

Mimi nitahakikisha wananchi wanalisikia hili la Kipengele cha 27 cha Katiba na kudai kuwajibika kwa Waziri Mkuu na Spika. Ni chaguo lako kama utajiunga kusaidia Taifa au utaendelea kubwabwaja bila hata chembe moja ya solution!
 
Halafu Waziri Mkuu na Spika wakiondolewa unapendekeza warudishwe Sumaye na Msekwa?

Kama unataka jibu la kijinga kwa swali la kijinga na kipumbavu, basi jibu ni ndiyo! je umesikia mtu akisema kuwa wao ni bora?
 
Kama kuna vipengele kwenye Katiba yetu ambayo wengi wetu hatujawahi kuiona wala kuisoma basi tumwombe Mh Slaa apeleke hoja Bungeni ya kukosa imani na bwana Speaker (Six) maana amesema uongo na maamuzi yake yanaegemea kwenye chama cha mafisadi (sisiem), Waziri mkuu amekuwa akifanya kazi za sanaa tu badala ya kuwa mtendaji mkuu wa serikali wa kila siku...

ila wasi wasi bunge letu la Tanzania ni aibu naona hata aibu kutambulisha MP ....si ndo wale akina Mzindakaya, Makweta, Mdhihiri etc etc... Yono aliyetaka watu wenye HIV wapigwe mihuri (Brand) kama ng'ombe duuuu
 
Kama kuna vipengele kwenye Katiba yetu ambayo wengi wetu hatujawahi kuiona wala kuisoma basi tumwombe Mh Slaa apeleke hoja Bungeni ya kukosa imani na bwana Speaker (Six) maana amesema uongo na maamuzi yake yanaegemea kwenye chama cha mafisadi (sisiem), Waziri mkuu amekuwa akifanya kazi za sanaa tu badala ya kuwa mtendaji mkuu wa serikali wa kila siku...

ila wasi wasi bunge letu la Tanzania ni aibu naona hata aibu kutambulisha MP ....si ndo wale akina Mzindakaya, Makweta, Mdhihiri etc etc... Yono aliyetaka watu wenye HIV wapigwe mihuri (Brand) kama ng'ombe duuuu

Rombo,

Hicho ndicho kinachohitajika kufanyika. Tuwafuate wawakilishi wetu wote tuwaambie sisi kama wananchi haturidhishwi na uongozi wa hawa wawili katika Serikali(Kuu na Bunge), hivyo hatuna imani nao. Tumepoteza imani yao si kwa ajili za tuhuma za ufisadi pekee, bali ni kule kuonekana wazi kwa kukosekana kwa ufanisi na umakini katika kazi zao, jambo ambalo limelea Uhujumu.

Kama wawakilishi wetu (wabunge) watakuwa waogakuwasilisha msaada au kupinga muswaada kusikilizwa ama kupiga kura kudai Spika na Waziri Mkuu wanafanya kazi safi huku ushahidi wa udhaifu wa uongozi wao no dhahiri, basi ni kwamba wabunge hawa, wasipewe nafasi au kura zetu 2010 watakapo omba ruhusa kwetu kuwapa dhamana ya kuongoza nchi na kutunga sheria. Hapo itakuwa heri tuchague sura ingine tusiyoifahamu ifanye majaribio ya kazi na si kuchagua sura ileile ambayo miaka nenda rudi inakwepa majukumu!
 
Kama kuna vipengele kwenye Katiba yetu ambayo wengi wetu hatujawahi kuiona wala kuisoma basi tumwombe Mh Slaa apeleke hoja Bungeni ya kukosa imani na bwana Speaker (Six) maana amesema uongo na maamuzi yake yanaegemea kwenye chama cha mafisadi (sisiem), Waziri mkuu amekuwa akifanya kazi za sanaa tu badala ya kuwa mtendaji mkuu wa serikali wa kila siku...

Mkuu Ushirombo nimekusoma na ninaogezea kidogo kama ifuatavyo:

Kipengele cha kumuondoa Spika na Waziri mkuu viko attached mwanzo wa thread. Nimechukua muda kupitia katiba yote. Sikuamini kumbe katiba inajambo la kizalendo kama hili. Hawa Mabwana wawili lazima wawajibike “kwa niaba ya wanaowaongoza” kwani wao ni viongozi wakuu katika idara zao, yaani Baraza la Mawaziri na Bunge. Ni jambo la kwaida kabisa kwa viogozi wa idara mabalimbali kuanza kuwajibika pale panapokuwa na tatazizo kwenye idara hiyo. Hata Balali, Raisi mstaafu Mwinyi wanayajua hayo..etc. Katiba iliyopo ilijua umuhimu wa hizo nguzo mbili na ndio ikazitungia sheria iliyopo. Na sisi tunajua umuhimu huo, hasa kwenye vita vya ufisadi uliokidhiri katika Taasisi hizo. Hivyo basi tutawashinikiza wabunge kuitumia katiba kikamilifu kufikia adhama hiyo. Kwanza tumechelwa sana. Kwa sasa tusonge mbele na tuendelee kutekeleza hii petition kwa sababu zifuatazo:


1. Tunapiga kelekele hapa kila siku tunahitaji katiba mpya ambayo itamwezesha mlalahoi kuwa na uhuru wa kweli wa utu na heshima yake, asinyanyaswe na vingozi wasio na maadili ya uongozi bora etc. PM na Spika ni "CHAMBO" wanawawakilisha Samaki wengine wote waliooza. Why Them?? Jibu Liko very clear: Kwenye katiba ndio wao tu ndio wanaweza kupata hii treatmet tunayojaidili hapa.Moja kwa Moja.Hata kesho tukitaka!

2. Kila siku tunatafuta a practical ways ya kujibu mapigo kwa UFISADI unaonekana kukomaa na kuota mizizi hapa nchini. Tunatafuta upenyo wowote wa kumshughulika hata mmoja wao tu. Njia za moja kwa moja za kumshughulikia FISADI hazipo. Kama kuna hii moja iliyoletwa kwenye kisosi cha dhahabu inayowalenga viongozi wa kiwango cha juu kama Waziri Mkuu Na Spika kwa niaba ya wenzao. Tumshukuru Mungu. We can Use these two Gentlemen to send the message to the rest in their groups! Na kutoa onyo kwa Mafisadi wengine kwamba things are no longer that ease!!

3. Mnataka kuniambia wengine waliobaki hawataadhiriwa kwa namnafuani hilo likitokea. C’mon .., let's wake up guys...! Kifanyike hata kidogo kinachowezekana. Kwanza hata kulijadili hili swala sensibly tu, I m telling you viti vyao huko havikaliki. Na ujumbe ni kuwa sio kuwa tunajadili tu! Something will follow unless they change soonest which I doubt if they r ready to do so.. kama sio hivyo na sisi hatulali..Kwani tuanzeje mapambano? Hatuwezi kuanza na nguvu kubwa zaidi ya ndogo tuliyonayo!

4. Kama hatujatumia kikamilifu “katiba iliyopo sasa” kuwa-manage Mafisadi halafu tunadai nyingine..That is not good enough. Katiba iliyoko lazima itumeke to the fullest! Ndio maana Wao wanasema katiba iliyoko bado inatosha. ‘Ni kweli’ kwani wanashangaa mbona hatuimumii kikamilifu kutuma ujumbe kuonyesha haki yetu kama wananchi? Yes; Tukifanikiwa kwa hilo tutakuwa sio wanafiki kudai katiba nyingine ambayo hiyo tutaiongezea kipengelae kamahiki cha PM na Spika..kwa Viogozi wengine. Mbali na marekebesho mengine!!

5. Ni Mtanzania gani kweli kabisa ambaye haoni kuwa kuwamwaga Waziri mkuu na Spika ingekuwa wamewakilisha the rest of the members wanaoingia kwenye lile jumba kubwa? Nani haoni kuwa PM ni kiongozi Mwakilisha Mawaziri wote MAFISADI ambao hatuna njia ya moja kwa moja ya kuwabana ? Nani haoni kuwa Spika anaweza kuchukuliwa kuwawakilisha Wabunge amabao generaly they r not doing very well kwenye kazi walizotumwa na wananchi..etc Balali tu ameguswa hapo...impact sio 0% itakuwa Hawa viogozi Wakuu wa Mawazirii na Wabunge?

6. Kama kuna mtu anayeweza kufanya hizi habari zi “leak” ziwafikie wahusika tugemshukuru sana. Ili mradi afikishe ujumbe kama ulivyo na “Awaonye” hawa Mafisadi kwamba hakika hatutanyamaza mpaka Tz ifikie kama Kenya na majirani wengine wanao tuzunguka ndio tuanze vioja vya zima moto.

7. Nasisitiza na ninatoa mwito wa dhati kabisa hili jambo lifanyike maramoja. Watu wenye utaalamu na means za kuwafikia wabunge na source nyingine wajitokeze kwa utekelezaji!!
 
Mmeyaona madudu waliyoyafanya sasa jana hapo Dodoma. Spika anaweka komeo kwenye hoja eti anakwenda msalani, Waziri Mkuu anatoa sababu za uongo kuhusiana na luwasilisha ripoti.

These two need to go!
 
Yes, they must go, but the question is when and how?


Kwa hawa wadanganyika na wabunge chips wetu!
 
Hili jambo halijakaa vizuri kabisa.

Kulikuwa na alternative kama mbili;
1. Sita angeweza ku_deligate hiyosafari kwa mtu mwingine kama Makinada etc
2. Kama majadala wa R/Mond ni very hot... mpaka kuupiga stop usijadiliwe angeachana na hiyo safari yake...Hiyo safari ni kuhusu nini..inayoshinda yeye kutumikia Wananchi?

Sasa utanizuije kus_peculate?? Hata kama ni upuuzi:

1.Yeye na wahusika wa kashfa ya Richmond wanavuta muda kwa manufaa yao..tusiyojajua..
2. Ni Mbinafsi katika shughuli za kazi...

3.etc ..ect..

Kwa kifupi kitendo hiki hakitupi sababu yeyote ya kutufanya Tuzidi kumheshimu na kumunze spika..na wenzake wa Richmond saga
 
Rev.Kishoka sasa nakubaliana nawe kwa 100% kwamba those folks must vacate bwana . We are tired with their bullies and nonsense
 
At last Lowassa kajitia kitanzi, bado tunasubiri kamba ikamate vizuri shingo ya Sitta! Our prayers have been heard, wamejiumbua!
 
Inashanganza maana hata six, amepata full effect ya kuwajibikia bunge..alivyoomba msamaha jana vile ..hata yeye kama ni prayer ..imemptia na kuaza kumwajibisha..I hope he come to his sense soonest..otherwise..hatahimili vugu vugu!!
 
Spika Ana Roho Ngumu Kama Shetani Mimi Sijui Anapata Wapi Ujasiri Wa Kucheka Na Kutabasamu Wakati Wote Wakati Anajua Kabisa Kwa Uma Wa Wawatanzania Ananuka,na Sura Yake Ya Kufa Kufa
 
Back
Top Bottom