Petition: 2 month ban kwa Invisible

Status
Not open for further replies.

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
WanaJF naomba mniunge mkono Invisible apigwa Ban kwa mienzi miwili

Kosa: Kuleta taarifa bila ya kuzibitisha ( shimbo na wiza wa 3 Trilion)

Muda: 2 Months

Hii itakuwa fundisho kwa kila mtu kuleta hoja bila kutuzibitishia

Najua invisible atatenda haki ya kujipiga ban mwenyewe sio wengine
 
Thread ya Shimbo imefungiwa na kutupwa kwenye dustbin bila ya kuzibitisha

the way taarifa ilivyotoka jana, iliridhisha na kufanya watu wengi kuamini na jinsi ilivyosomwa na watu wengi ninaamini ujumbe ulimfikia jamaa kama ingekuwa ya uongo ungeshasikia reaction ya JWTZ, tusubiri
 
JK Naona una moto sana kuwa na subira, Hii JF siyo mahali pa ubabaishaji, lakini pia naona unatafuta sana ushahidi vp una maslahi? au unafikiri kuwa ushahidi hauwezi kupatikana? Mbona issue nyingi zipo direct na ushahidi hakuna lolote la maana lililofanyika, labda wewe utakuwa wa kwanza kumfunga Paka kengele.
 
Je ikija dhihirika ni kweli, uko tayari kumlipa fidia kwa hiyo ban?
Siungi mkono.
 
Inashangaza inapotokea wasomaji wanapanic kuliko mtoa habari! wengine kama wanazomea! haya ni mapambano saidieni kutoa ushahidi, au subirini.
 
nyie watu haya mambo ni mazito sana zaidi ya mnavyofikilia.hii habari si sawa na habari za kujihudhulu kwa lostam.jenga picha,epa tu serikali na iliteteleka tena kwa billions zisizozidi mia mbili.je tillion 3.unafikili itakuaje?hii kashifa ni zaidi ya kupindua nchi.kama waziri mkuu kajiuzulu uwazili kwa kitu kidogo kama richmond unafikili hizo tillion nani atajiuzulu?nyie subilini muone hili sekeseke litakavyokua.na hapa ndo watu wote mtampigia salute invisible.mia
 
umeshaambiwa kusubiri haraka ya nini..........mbona watoa hukumu kabla kesi haijasomwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom