Peter Tosh na Gregory Isaacs

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Mnawakumbuka hawa magwiji?

35494_3942996541512_490748067_n.jpg
 
Gregory Isaac Cool ruler!! nyimbo zake nazipenda sana hasa night nurse tulikuwa na kanda yake home nikiwa Iringa my bro aliinunua hiyo ni 1991, wakati ule kanda zinarekodiwa na local studios. Pale iringa kulikuwa na Studio FM5 km sijasahau na Wamahanji hahha ilikuwa balaa collection zao zilikuwa kali. Peter tosh sijawahi kuwa mshabiki wake so sizijui saaaaaaaaana nyimbo zake! Ila Bob Mlay ooops Bob marley zoote zipo kichwani sema nianze!! from Judge Not to Confrotation! RASTA LIVE!!!!!!
 
Honourable Mugabe thinks otherwise. Read Jamaicans angry at Robert Mugabe pot smokers comment. BBC news
sasa hao na mugabe nani ana akili we mtu hata kutembea,kuongea huwezi halafu unataka uongoze nchi wakati we mwenyewe hujimudu shame on him.
 
afu ndio huyo huyo Mugabe aliyemualika Bob Marley (mvutaji bangi mkuu) kwenye tamasha la uhuru wa Zimbabwe mnamo mwaka 1980.
 
wanasiasa ni mhimili wa uzandiki humu duniani hawapaswi kuwaamini hata kidogo,tabia zao tu ni za kiendawazimu,nyerere mwenyewe na ujanja wake alimuona chizi baadae yeye mwenyewe akagundua bob is most genious than him .
 
Gregory Isaac Cool ruler!! nyimbo zake nazipenda sana hasa night nurse tulikuwa na kanda yake home nikiwa Iringa my bro aliinunua hiyo ni 1991, wakati ule kanda zinarekodiwa na local studios. Pale iringa kulikuwa na Studio FM5 km sijasahau na Wamahanji hahha ilikuwa balaa collection zao zilikuwa kali. Peter tosh sijawahi kuwa mshabiki wake so sizijui saaaaaaaaana nyimbo zake! Ila Bob Mlay ooops Bob marley zoote zipo kichwani sema nianze!! from Judge Not to Confrotation! RASTA LIVE!!!!!!

Mtani kuna mmoja aliupiga sijui ni huyu Gregory au mwingine nadhani unaitwa Substitute naomba unikumbushe ninautafuta kweli,moja ya mistari yake anasema since you told me to leave ando you wont come back na anaendelea kidogo nimesahau hapo kati kisha anasema Now you are drinking liquid which you didnt do,Ill be around so you wont get down,substitute gonna make/let you down,naukumbuka baadhi ya maneno tu na kama umenipata naomba unipe jina la muimbaji na ninavyoweza kuupata youtube..
 
Them crazy,them crazy we gonna chase the crazy bald heads out of town. Qoute Bob Marley.

"Building your penetetially...we build your schools...Hate is your reward for our Love...telling us about your God above...
WE gonna chase dem crazy..."
am very very veryyyyy excited!!!
Kila la heri mkuu!
 
Mtani kuna mmoja aliupiga sijui ni huyu Gregory au mwingine nadhani unaitwa Substitute naomba unikumbushe ninautafuta kweli,moja ya mistari yake anasema since you told me to leave ando you wont come back na anaendelea kidogo nimesahau hapo kati kisha anasema Now you are drinking liquid which you didnt do,Ill be around so you wont get down,substitute gonna make/let you down,naukumbuka baadhi ya maneno tu na kama umenipata naomba unipe jina la muimbaji na ninavyoweza kuupata youtube..

Mkuu pamoja sana! Unaitwa "Substitute Lover" wa Gregory Isaacs, jinsi ya kuupata Youtube, cjui. Binafsi niliupata Waptrick, na kamchina kangu... Audio, vedeo to Lyrics!
"Suzan told me to live sayin' she's a woman who's cute...
All in a sudden she said ama' she found a substitute...
Am jus' letin' know I'l be still around...I will be ur bridge over troubled water...So u won't get drown...substite gonna put u down...
Ohoo ohoo ohoooo! Ahaa ahaa haaaa!

I heard u're smoking cigarrete by the pack...
Since u told me to leave an' don' come back...
It is not my fault, u're the one who said we are through...now u are drinkin' liqo which u didn't do...but I will be around, so u won' get drown, substitute gonna put u down...
Ohoo ohoo ohooooo!
Ahaa ahaa ahaaaaaa!

Whenever time u're in trouble...just call ma'name and I'll be on the double...an' u won't get drown, substitute gonna put u down... I will be around, so u won' get drown...... I will be around...u won't get drown"
Pia ana Hard Drugs, strange in the Nighty, Sad to Know,
Ni mkali kwangu kwa Sweet Reggae!
Ila ombi, kama kuna mwenye Lyrics za Boderation by Bunny Wailer, msaada plz...
Raggae ni zaidi ya Muziki!
Mungu wetu anaita!
 
Pamoja sana kak,a hapa wewe na Askari Kanzu mmenirudisha kama miaka 20 nyuma nilipokuwa bado niko masomoni nashukuru sana mkuu..
 
Last edited by a moderator:
Gregory Isaaac alikuwa na vbao kama - Night Nurse na Objection overuled. kwa kweli alikuwa mtaalamu wa reggae za mapenzi

Tosh acha kabisa kama mnakumbuka- Wanted Dead or Alive, When you live in galss house don't throw stone nna When Dollar Die
 
Back
Top Bottom