Peter Tarimo (wa Angel's Park) is no more

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,508
6,146
Kwa wale wanaomfahamu Yule mmiliki wa angel park ni kuwa amepata ajar mbaya san a akiwa njiani kwenda moshi na ameaga dunia
 
RIP. Sorry, which Peter Tarimo? Which Angel Park? More information, Please?
 
Kwa wale wanaomfahamu Yule mmiliki wa angel park ni kuwa amepata ajar mbaya san a akiwa njiani kwenda moshi na ameaga dunia

bwana ametoa na bwana ametwaa,lihimidiwe jina lake
 
RIP ndugu!
Inasikitisha mtu anapopoungua kipindi hiki nyeti!
Bwana akutangulie!
BTW, who is this person, more details!
 
Hutu jamaaa nod mwenye angel parks alikumbwa na sakata la kuuwa vibaka kwa risasi hadharani walipovamia bar yake kule mchikichini..iliandikwa san a kwenye magazeti
 
Hutu jamaaa nod mwenye angel parks alikumbwa na sakata la kuuwa vibaka kwa risasi hadharani walipovamia bar yake kule mchikichini..iliandikwa san a kwenye magazeti
Nilikuwa najaribu kukumbuka wenye ubini Huo wa Tarimos wenye majina makubwa .Huyu Piere nilikuwa simjui kabisa..
RIP wahenga walisema Ajali haina Kinga pindi asainipo Mola mwenyezi..
 
28688_102097636504328_100001122753601_17090_7550398_n.jpg

R.I.P Peter
 
Back
Top Bottom