Peter Serukamba: Ole Sendeka 'huna sera kwa leo kaa chini'

very sad kambi ya Mwakyembe dhidi wala pesa za umma nayo imeanza kuzama, kwani tayari imempoteza SELELII NA SASA MZEE OLE, VERY SAD. Kila empire ina zama zake, ccm naona wameanguka kama empire ya rome taratibu inashuka kule isikotaka
Kambi ya Sita/Mwakyembe ilizama muda mrefu sana kwasababu wapiganaji wake walikua wanapambana kila mtu akiwa na malengo binafsi! Baadhi wakipigania maslahi ya taifa (Mpendanzoe, Selelii, mzee Shelukindo),wengine wakipambana na mahasimu wao kisiasa( Sitta, Mwakyembe, Sendeka, Kilango) na wengine bendera fuata upepo!
 
Sendeka alikuwa wa kiherere wa kwanza kusema lowasa ajiuzulu leo kwa pinda kwa kuwa anamnunuliaga nyama anatusaliti watz.niwahi kusemaga huyo jamaa ana akili layoni (asiyetairiwa) ukimuona utafikiri anabusara kumbe bora lusinde,anaburuzwaga na ane kilango na ole wake safari hii hapa simanjiro tusipo kutairi huo mdomo uwe na busara kama wabunge wengine. yani na hasira na huyu zuzu subiri tu 2015 labda ahamie kwa pinda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom