Peter Serukamba: Ole Sendeka 'huna sera kwa leo kaa chini'

Sendeka hafai hata kwa kurumangia. Hata Anna Kilango na Smwel 6 wote lao moja. Kitendo cha Sendeka kushiriki kampeni kule Arumeru ilihali akijua ccm walitumia rushwa kumpata mgombea wao ni dhahiri kabisa hafai tena kupaza sauti.
 
EL huu ndio wakati wa kulipiza kisasi mwaga ngawila baba kieleweke!
 
Olesendeka ni kigeugeu mkubwa ukifuatilia hoja zake nyingi utagundua hili!alimwambiaga lisu ni mwanasheria ambaye hajui sheria siku ya siku anasema lisu ni rafiki yake tena ni mwanasheria mzuri na mambo mengine kama hayo!kwa hiyo alichokifanya hapo leo hii ni kuendeleza ukigeugeu wake!
 
Ole Sendeka azomewa
Katika kikao hicho wabunge walimzomea Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole-Sendeka baada ya kusimama na kuonyesha wazi kuwa anawatetea mawaziri hao walioonekana kuchafua hali ya hewa.

Inadaiwa Ole Sendeka aliwataka wabunge wenzake kupunguza hasira na kuwasamehe mawaziri akisema kuwa nao ni binadamu ambao kwa vyovyote
lazima wawe na mapungufu.

Kauli hiyo iliufanya ukumbi huo wa Msekwa kulipuka kwa kumzomea kabla ya Mbunge wa Kigoma, Mjini Peter Serukamba kumueleza mbunge huyo kuwa “huna sera kwa leo kaa chini”.


MY TAKE

Kama haya yote yanatamkwa na wabunge wa CCM let it be a sustainable spirit for the wellbeing of Tanzania not CCM.

Source: Pinda rehani

Kweli kila binadamu ana mapungufu lakini katika hili la kutafuna mali/rasilimali za nchi mmh!!!.
 
ole sendeka sio mtu yule muda wowote anakugeuka tu, lakini believe me something will happen hata wafanyaje ufisadi kuumaliza sio leo lakini lazima upungue kwa kiasi kikubwa
 
Kama leo Sendeka ameshindwa kuitumia vema sauti aliyomuiga Baba wa Taifa, basi ndiyo dalili za kuporomoka katika kiti chake cha ubunge!
 
Serukamba ni mtu wa Lowassa, tena yeye ni mpambe wa Lowassa kuliko hata Millya. Ole sendeka ni kambi ya Six. So nothing new hapo

Umesahau kwamba yeye ni pia ndiye mbebaji ile sumu kali inayoua kimyakimya!

Sasa hivi hakaribishwi kwa mtu huyo jamaa wanamwogopa mno!
 
huyu ole sendeka dawa yake tunayo wacha akalie

hivyo viti vya hapo mjengonin kwa mara za mwisho mwisho
 
Mzee wa Monduli aliwaambia amerudi na yuko fiti kwa mapambano hamkukubali.. sasa nadhani kila mtu anaona.Ila kwa hili hata mimi niko nyuma yake... kula tano.. mzee wa Monduli....
Mkuu, kwani manywele kafanyaje?
Naona unaogopa kivuli usiku usio na mbalamwezi!!
 
Sendeka ameuona mwisho wake anaanza kujikomba. Mwanaume kama umeamua kuwa shujaa ,utaishi kishujaa na unatakiwa kufa kishujaa siyo kuanza kama shujaa halafu unataka kuishia kama COWARD!!!!! hapa utakuwa unafuta historia!!!!
 
Unajua Sendeka kajifanya yeye ni maarufu na kuwa ana ubavu wa kuwanyamazisha wabunge!
Iyo zomea na ujumbe tosha kwake kuwa amekuwa GANDA LA MUWA
 
Ole Sendeka azomewa
Katika kikao hicho wabunge walimzomea Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole-Sendeka baada ya kusimama na kuonyesha wazi kuwa anawatetea mawaziri hao walioonekana kuchafua hali ya hewa.



Inadaiwa Ole Sendeka aliwataka wabunge wenzake kupunguza hasira na kuwasamehe mawaziri akisema kuwa nao ni binadamu ambao kwa vyovyote lazima wawe na mapungufu.

Kauli hiyo iliufanya ukumbi huo wa Msekwa kulipuka kwa kumzomea kabla ya Mbunge wa Kigoma, Mjini Peter Serukamba kumueleza mbunge huyo kuwa "huna sera kwa leo kaa chini".


MY TAKE

Kama haya yote yanatamkwa na wabunge wa CCM let it be a sustainable spirit for the wellbeing of Tanzania not CCM.

Source: Pinda rehani

Jamaa ni mnafiki kiukweli na ni mtu hatari sana anaitwagwa ndumila kuwili hafai Ole Shendeka mwiba mkubwa.Kaumuulize Tatizo Uwazilimkuu alichofanyiwa na huyo nyoka,alitaka eti Lowasana anyongwe kwa issue ya Richmond,na then akapanda naye jukwaani pale Arumeru kumnadi yule mgombea wa magamba aliyepigwa chini Mkwe wa Richmonduli, Huyu ndiye Ole-Shendeka.
 
mkuu Henge, Malya ni wachaga na Millya ni Mmasai, just make da dfrent.makabila mawili tofauti

Kwani nani hapa kazungumzia makabila? Kama macho yangu yanaona vyema basi naona hapa ameandkia Mallya wa CDM. Kama nia yako ni kurekebisha basi ungemwambia anaitwa Millya na sio Mallya, haya ya ukabila ndio tuliyoyakataa mioyoni mwetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom