Peter Serukamba; Kamati ya miundo mbinu imepata kiongozi

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Ni kijana mwenye maono. Anajiamini na anajua kujenga hoja. Ni msomi na mweledi.
Nimemsikia leo mheshimiwa huyu akieleza mikakati ya kupunguza foleni katika jiji la Dar. Apewe tu ushirikiano mzuri, matunda tutayaona kama alivyolifanyia na kuliletea maendeleo makubwa jimbo lake la Kigoma mjini ktk kipindi chake cha miaka mitano. Tuache siasa, tumpe mkono
 
Ni kijana mwenye maono. Anajiamini na anajua kujenga hoja. Ni msomi na mweledi.


Nimemsikia leo mheshimiwa huyu akieleza mikakati ya kupunguza foleni katika jiji la Dar. Apewe tu ushirikiano mzuri, matunda tutayaona kama alivyolifanyia na kuliletea maendeleo makubwa jimbo lake la Kigoma mjini ktk kipindi chake cha miaka mitano.

Tuache siasa, tumpe mkono
Anajua kutukana matusi machafu!
 
Back
Top Bottom