Peter Noni na Rostam - The EPA Connection

Nchi hii kila sehemu imejaa ufisadi,mimi nashindwa kuwaamini wanaochangia humu JF,kuwa pengine wana connection na mafisadi iwe na mengi au rostam kwani kumtetea mtu iwe kwa kabila au dini ni ufisadi pia.
Nina hofu na uzalendo wakina Dr.Slaa,mama kilango ,mkumba,Dr.Mwakyembe na kina ole sendeka ni kiwasikiliza logically napata wasiwasi nao sana ninakitu kutowaamini kama wanauzalendo wa kweli sijui kwa nini? ninahofu kama wanatumiwa ivi.

Kama hawatumiwi iwe na mengi au na wengine mimi nawaunga mkono ila kama kuna connection na fisadi yoyote ni bora wajiepushe wafanye kazi yetu watanzania tutawasapoti na kuwaunga mkono kwa hali na mali na tutawalinda kwa uwezo wa mola.
 
Naona baadhi wame shindwa kuielewa dhana ya Ukanda wa ziwa-suala sio, ukabila, bali ni wingi wa kura hasa alizopata JK wakati wa uchaguzi uliopita. Kwa hiyo ni kanda amabayo watawala wako makini sana kuzipoteza hizo kura na siku zote kabla ya kufanya /kuamua lolote kwa mtu yoyote wa kanda hiyo huangalia implication yake kwanza. Strategically, ni kanda ya ku-handle with care.
 
Sijathibitisha maana namwamini Mzee Mwanakijiji. Na Rostam mwenyewe amesema kuwa Caspian ni ya kwake. Sasa nyie mnaobisha kwa nini mnashindwa kutuambia nani ndiye mmiliki halali wa Caspian Construction Company. Kwa kuwarahisishia, nendeni hata Contractors Registration Board mtapata mnachotaka!

Amandla......

Mmiliki wa Caspian ni Abibu na anaishi UK ana asili ya Iran ukoo wa Mfalme Shah, RA aliingia ubia kama raia wa Tz kwa share kiduchu na ndie aliyekuwa akiiendesha Caspian fully hapo mwanzoni mpaka pale Abibu alipomshtukia RA kuwa amemchapa kidogodogo na kufungua kikampuni mtoto yeye na mdogo wake bila kumjulisha mkuu mwenye senti, ndipo akuamua yeye mwenyewe asimamie kwa ukaribu sana siku hizi na utaona siku hizi RA hafiki kabisa pale Caspian Pugu road, je unabisha? hata hivyo siku zote amekuwa akidai kuwa wazazi wake walikuwa wafanyabiashara hebu sie tuliozaliwa huko atuelezee vizuri kwani matajiri kama MMT,HINDOCHA,SINGER,HEDARI(Haidary) etc tunawajua mbona tunashindwa kutrack biashara za wazazi wake?
icon6.gif
 
Nchi hii kila sehemu imejaa ufisadi,mimi nashindwa kuwaamini wanaochangia humu JF,kuwa pengine wana connection na mafisadi iwe na mengi au rostam kwani kumtetea mtu iwe kwa kabila au dini ni ufisadi pia.
Nina hofu na uzalendo wakina Dr.Slaa,mama kilango ,mkumba,Dr.Mwakyembe na kina ole sendeka ni kiwasikiliza logically napata wasiwasi nao sana ninakitu kutowaamini kama wanauzalendo wa kweli sijui kwa nini? ninahofu kama wanatumiwa ivi.

Kama hawatumiwi iwe na mengi au na wengine mimi nawaunga mkono ila kama kuna connection na fisadi yoyote ni bora wajiepushe wafanye kazi yetu watanzania tutawasapoti na kuwaunga mkono kwa hali na mali na tutawalinda kwa uwezo wa mola.[/QUOTE]

- Mkuu humu ndani humjui mtu na hakuna anyekujua, sasa either una hoja za kuunga mkono Rostma au Mengi, ama uko neutral, lakini usisumbuliwe na motives za wengine kuhusu ufisadi jali zako na uziweke hapa, maana huna ushahidi hata kidogo kuhusu hizo connections unzodai, kama unazo uweke hapa,

- Hapa tunachojali ni hoja sio paukwa pakawa, kutofautiana mawazo ni afya kwa demokrasia, lakini haina maana kwamba wote wenye mawazo tofauti na yako wana connection na anything!

Respect.

FMES!
 
FISADI NAMBA MOJA NI C C M musidanganyike mukababaisha bila kungoka CCM na ufisadi hauwezi kuondoka Tanganyika kwasasababu ndio biashara yao kubwa

Hili ndio swala ambalo Mwanakijiji na wengine wanaloogopa kuliongelea , Which is shiffting the whole discussion , huwezi kumwongelea RA without including CCM
 
Mmiliki wa Caspian ni Abibu na anaishi UK ana asili ya Iran ukoo wa Mfalme Shah, RA aliingia ubia kama raia wa Tz kwa share kiduchu na ndie aliyekuwa akiiendesha Caspian fully hapo mwanzoni mpaka pale Abibu alipomshtukia RA kuwa amemchapa kidogodogo na kufungua kikampuni mtoto yeye na mdogo wake bila kumjulisha mkuu mwenye senti, ndipo akuamua yeye mwenyewe asimamie kwa ukaribu sana siku hizi na utaona siku hizi RA hafiki kabisa pale Caspian Pugu road, je unabisha? hata hivyo siku zote amekuwa akidai kuwa wazazi wake walikuwa wafanyabiashara hebu sie tuliozaliwa huko atuelezee vizuri kwani matajiri kama MMT,HINDOCHA,SINGER,HEDARI(Haidary) etc tunawajua mbona tunashindwa kutrack biashara za wazazi wake?
icon6.gif

- Mkuu kwa kuongeza tu ni kwamba share zake zote kwenye makampuni mengi alizihamishia kwenye jina la Manji, hata kile kituo kikubwa cha mafuta cha Bagamoyo, anachomiliki na Yona, tayari amebadili jina na kumuweka Manji, sasa unajiuliza WHY? Kwa kiongozi ambaye ni msafi kufanya haya?

- Tupo pamoja sana mkuu, lete dataz!

FMES!
 
Nianze kwa kusema kuwa Rostam na Mengi wote ni mafisadi! Lakini hivi kweli wanaJF tumefikia hatua ya kuongea bila empirical facts? Unakuta mtu anakuupuka na kusema kuwa RA hana kampuni anayomiliki, lakini ghafla anasema mara anamiliki Caspian, mara vodacom, mara ile! Ni nani kati yetu amefika Brela na hajakuta jina la Rostam kama mmiliki mzawa wa kampuni ya Vodacom Tanzania? Si kweli kuwa RA ni minority shareholder wa Caspian? Na haya ya uraia yanatoka wapi? Kuwa na connection na nchi nyingine siyo kuwa raia wake. RA ni mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sasa tukisema kuwa siyo raia, ina maana gani?
 
Mmiliki wa Caspian ni Abibu na anaishi UK ana asili ya Iran ukoo wa Mfalme Shah, RA aliingia ubia kama raia wa Tz kwa share kiduchu na ndie aliyekuwa akiiendesha Caspian fully hapo mwanzoni mpaka pale Abibu alipomshtukia RA kuwa amemchapa kidogodogo na kufungua kikampuni mtoto yeye na mdogo wake bila kumjulisha mkuu mwenye senti, ndipo akuamua yeye mwenyewe asimamie kwa ukaribu sana siku hizi na utaona siku hizi RA hafiki kabisa pale Caspian Pugu road, je unabisha? hata hivyo siku zote amekuwa akidai kuwa wazazi wake walikuwa wafanyabiashara hebu sie tuliozaliwa huko atuelezee vizuri kwani matajiri kama MMT,HINDOCHA,SINGER,HEDARI(Haidary) etc tunawajua mbona tunashindwa kutrack biashara za wazazi wake?
icon6.gif

Hizi ndiyo dataz zenyewe? Huyo Abibu ana jina moja tu? Ati kwa sababu Rostam hafiki kwenye ofisi yake basi huo ndio ushahidi kuwa kampuni sio yake? I am sorry, but how juvenile can one get? Lord Have Mercy!

Amandla.......
 
Usiseme nimetumwa , this is a free forums and people have rights to disagree I am not here just to take postion mimi ni more pragmatic than you think.

You see kumbe wewe Uko upande wa Mengi, Mimi Niko neutral I am trying to analyse the truth and you have an option to agree or disagree with me.

Kama mengi Yuko serious na Vita ya Ufisadi kwanini asiseme CCM ni mafisadi. He has his own intrest that why he is talking about Ufisadi.

Kumbuka ITV imeisadia sana CCM, and the main benefiery of Pesa za Uchaguzi is mengi as well through ITV Unatufanya hatujui hilo.Radio One ETC

Mzee unaeleweka endelea kusasambua! Achana na hao ambao siku zote wanapenda kusikia zile habari wanazozipenda. Mimi ninatoka Kanda ya Ziwa nafahamu jinsi Rostam alivyo Mfalme kule! Zaidi ya Robo tatu ya Wabunge wa Kanda ya Ziwa walipenya kwa mgongo wa Rostam. Huyo Samuel Sitta alikuwa ni chaguo la RA kwenye nafasi ya Uspika, sababu za kupishana kwao zinaeleweka. Ugomvi wa Sitta na Kapuya siku zote ulikuwa unaishia mikononi mwa RA akiwa kama 'baba' yao. Na hapa RA na Swahiba wake Mamvi walipishana kwani Mamvi alimtaka Marmo wkati RA akimtaka Sitta! Kwangu mimi ni afadhali tuongelee Ukabila leo ukiwa katika ngazi ya awali kuliko kusubiri huko mbeleni! Hata huu Ufisadi

Kunufaika kwa Wachagga kwenye serikali ya Mkapa hakumaanishi Mkapa alihusika moja kwa moja kuwabeba! Lakini unaonaje uwepo wa Basil Mramba na Mama Anna Mkapa? Yalishazungumzwa humu mengi sana ya TRA sina muda wa kuyarudia! Siasa za kikanda zipo na tunazielewa! Wachagga watakuja mbogo ukiwaambia 'walimbeba' kwa mbereko 'kubwa' Augustine Mrema wakitarajia angeukwaa Urais ule mwaka 1995. Yupo Mwalimu mmoja pale UD aliuza Chai Maharage zake kibao akitumaini Mrema akiingia madarakani angeukwaa U-VC baada ya hapo aliishia kuwa 'anaongea' peke yake njiani.

Dhima kuu ya vita hii nakubaliana ni UFISADI, lakini isitufanye tusivione na 'vi-sub sytems' vingine vinavyo-run kwenye hii System kubwa ya UFISADI. Si umewasikia wale Umoja wa Vijana wa Mkoa wa Tabora walivyojitokeza hadharani kumuunga mkono RA! Hivi nani aliwatuma?
 
Jamani tuamke , tusibaguane kikabila. Mafisadi wanataka kutugawa. Tuhakikishe wanaondoka madarakani mwaka 2010
 
Sijui unatoa wapi data zako? kama kuna wachaga waliofaidika kwenye utawala wa Mkapa ni shemeji zake tu! Wachaga wamekuwa victims wa tawala zote kwa sababu mbalimbali nyingi zikiwa ni wivu zaidi.

Kwa hiyo tuangalie issues at hand namely utawala mbovu, ufisadi, rushwa, kulindana etc. Kama mnataka kusema kuwa Kina Rostam na wenziwe wametajwa kwa kusingiziwa basi turudi kwenye report zote na mikataba na uwekezaji uliofanywa tangu awamu za huko nyuma. Msipoteze lengo jamani let us focus on the real problems ili tutafute au tushinikize ufumbuzi. Msimpe Mengi too much credit Tanzania nzima tumekuwa tukilalamikia haya mambo ya hawa mafisadi na kujiuliza serikali inafanya nini wakati ushahidi uko wazi hilo ndio swali la kujiuliza! Mengi ametaja majina kwa sauti wakati sis wengine tulikuwa tukinong'ona basi hamna cha zaidi. So collectively we are all in this shutuma za mafisadi pengine sisi tusingetumia neno PAPA!
 
Kwanza Rostam na hao wengine sio watanzania hayo ya ukabila Bongo linawahusu vipi? Again focus on the real issues guys. hawa ni wezi wa mali za Tanzania hilo ndio la kuzingatia na kulitafutia ufumbuzi once and for all. Acheni kuyumbishwa? hawana uchungu na sis hawa!
 
Alberto Fujimori alirudishwa Peru kutoka Chile, mwezi Septemba 2007. Tarehe 17 Aprili 2009 amehukumiwa kifungo cha miaka 25.

Hao unaosema wanalia lia wako wapi?

Msitake kupindisha habari kutetea hoja dhaifu!

Amandla......

Habari za mwisho za huyu bwana nilikuwa namfuatilia ni hizo za Japan kukataa kumpeleka Peru. Kama si UJINGA wake basi hadi leo hii Peru wangelikuwa wanalialia. Hamu yake ya kutaka MADARAKA na kurudi Peru kutawala ilimpoza maana hakujua kuwa INTERPOL wanamsubiri.

Ukweli unabaki kuwa Kama angelijikalia kwao Japan, kama yule Canibal aliyekula wanawake wa Kizungu (Canibal Superstar Issei Sagawa) ambaye nina uhakika hadi leo anaishi Japan basi angelikuwa bado anatesa tu mitaa ya huko kwao. Huyu nimefuatilia ili kujua kama bado hajakamatwa ili kutokuchemka kama hapo mwanzo.

Sagawa alikuwa anatafuta watoto wa Kizungu wazuri na KUWALA. Baadaye akaandika vitabu na film dokumental. Nchi za Ulaya hadi leo wana wanahamu naye wamrudi ila hawapati kitu.

Hapa hilo halikuwa muhimu. Ukweli unabaki kuwa kuna wananchi wengine wanaweza kuwa ugenini na akamess up, akirudi kwao nyie mlie tu hamupati tena. Sasa mfano wa Sagawa bado wauona ni dhaifu? Angelikuwa kaliwa dada/binti yako ungelisimama hapa na kusema hivyo? Kati yetu mimi na wewe, nani anapindisha habari???

FM, mara zote umekuwa unatoa point hadi ninakukubalia, please endelea hivyohivyo. Huu ni mjadala na si mashindano. Ndiyo maana mie nasema wazi kabisa "Habari ya Fujimori nilikuwa nimeachwa na hivyo kuandika habari ZISISO sahihi......" Lakini mkuu, huwezi Mkumbusha tu mtu hadi uchomekee vijembe? Please Be FUNDI MCHUNDO.
 
Last edited:
Katika Uchunguzi wangu wa Kina, nimegundua kuwa Tatizo sio Vodacom Hapa, Tatizo ni UKABILA NA UKANDA ndio unatusumbua kwa sasa.

Wachaga walikuwa very influencial katika siasa za Tanzania, but they lost that status as the time was passing on. Ukiangalia utawala wa Mkapa uliwanufaisha sana wachaga, which has lost in Kikwete leadership. On other hand kwa Kuangalia political Map Rostam Aziz ni influential kwasababu alikuwa na good ties with the lake zone which politically always is a very big decider of Tanzania politics.

Ndio maana ukianza kutaja majina yote ya watu ambao wako associated na Rostam Aziz na VodaCom wote wanatoka kanda ya ziwa, mpaka unakuta hata Lipumba hawezi kuongea against RA

Rostam Aziz ni mnyamwezi, ukiangalia Tabora, Mwanza na Shinyanga mpaka Musoma ukweli ni kwamba kuna waarabu wengi sana ambao ni wafanyabiashara maarufu katika maeneo yao and they have helped those communities for many years.

Why Rostam Aziz ana kiburi? Rostam had legitimate business for so long and if you look back at Mirambo Holdings is one of very reputable investment company in Tanzania for so long.

Kilichoenda kombo ni kwamba Rostam alikuwa ni njia tu ya ku-justify uchotaji wa fedha za CCM ,

why KIKWETE YUKO KIMYA?

Since he drugged RA in this shit hawezi kumsaliti, COST ya yeye kumsaliti is equal to the lose of political map. RA anafahamika Mwanza, Shinyanga, Tabora na Musoma and he is very influential there, calculation ni kura za NEC Mzee, na kanda ya ziwa ndio imempa JK ushindi.

MENGI

Tatizo la Mengi ni kwamba he have been a big fish for so long, akiangalia mwelekeo wa biashara na political influence ilivyopotea kwa wachaga anaogopa. But he has legitimate claims panapoharibika ni kwamba waarabu wengi wenye ugomvi na Mengi ni kutoka kanda ya ziwa, wanajiita wasukuma. So Mengi is in battle to retain his powership/chaga but at the same time anasidia kupambana na ufisadi

Mwisho tulipofika sasa:-

- JK Anaangalia his political future.
- Wasukuma wameshikilia justice department
- Wasukuma,wanyamwezi hawawezi kumwachia RA afe maji
- JK hawezi kuwatosa wasukuma
- Wachaga, they see it is the time for them to gain their political influence
- Wasukuma wanawafunga mafisadi wachaga

NGOMA NZITO MZEE MWANAKIJIJI

Costa Mahalu (Msukuma), Basil Mramba (Mchaga), Gray Mgonja na Daniel Yona (Wapare), Shabani Maranda (Kigoma), Jeetu Patel (?).............. Johnson Mwanyika (Mpare)
 
good rubbish mkuu,sikujua kama bado wapo watu wenye uwezo wa kuunganisha hisia kwa mtindo huu...WATAFUTE WENYEJI WA KANDA YA ZIWA, WATAKUELEZA WAASIA WASIVVYO NA UTU...ANZA NA WANAOUZA KWENYE MADUKA YAO NA WAFANYAKAZI WA NDANI...
 
A low point indeed. So this is what it comes down to? Some unfounded ramshackle tribalist speculation?
 
Tukubali yaishe, au tupambane yaishe?

Kuna wakati mwanakijiji alishakuja na hoja ya kuamua yaishe tu..Yaani tuanze moja,Mie nilimuunga mkono.naona tu tukubali kuwa jama waliweza kutuiba na tuanze moja!

Maswali ya kujiuliza ni

1.Je tunaanza vipi?
2.Tuna lengo gani?
3.Tutafanikisha vipi lengo letu?
4.Je ni nani na nani wanaweza saidia kufanikisha malengo yetu?
5.Tutawapima wa viwanngo vipi?
Je kama wakishindwa tunawafanya kitu gani?

Tukiweza kupata majibu ya hivyo vitu basi tunaweza kukubali kushindwa na kuanza Upya,Kuna sehemu tulikosea!
 
Back
Top Bottom