Peter Msigwa avamiwa na vibaka maeneo ya Ikulu

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
huyu hapa anafunguka facebook
""Niliharibikiwa na gari maeneo ya kutokea ikulu mda
sio mrefu,nikavamiwa na vibaka Saba Mimi pamoja
na Dereva wangu ambaye alikuwa anafungua tairi
nimepigwa vizuri ,na nimenyang'wa simu zote na
pesa pamoja na waleti ,hii Ndio bongo , ....watu
wengi nitakuwa nimepoteza namba zenu""

.. (ni ikulu ya magogoni)

My take.: askari wapo bussy na Sheikh ponda na Faridi?? Its a big joke
 
sasa kama mbunge analalamika... Na wa ndo watunga sheria.. Sisi wengine tufanyeje?. Kumbuka mbunge anapewa gari na dereva kwa kodi za wananchi(kukopesha) no difference... But wenyewe wamekuwa watu wa kulalamika so inawezekana hata rais wa nchi mwenyewe analalamika sana tu kama hawa
 
mkuu mimi nafikiri alikua anatoa taarifa tu, hata nchi zilozoendelea pamoja na sheria kali bado uhalifu upo.!
 
huyo atakua kaibiwa usiku...so alikua anafanya nini usiku wote huo mitaa hiyo?

Mi mwenyewe juzi nimeibiwa hivo hivo wallet simu kila kitu yaani bongo siku hizi hakuna hali ya usalama kabisa bora tukaishi vijijini
 
Pole. Next time kumbuka ku synchronize contacts za simu na contacts kwenye desktop au laptop ni rahisi takes no more than a couple of seconds. Tumia MS outlook mfano.
 
Hivi wabunge si wanakuwaga na bastola? au airuhusiwa kupiga hewani maeneo ya ikulu? Je kama hairuhusiwi sasa inakuwaje vibaka wapo maeneo ya ikulu? Hapo inaashiria nini vibaka kuwa karibu na ikulu?
 
Mbunge unatembea kirahisi hivyo. Hata mguu wa kuku huna tena wakati huu ambao kuna siasa za uhasama mpaka wabuge wanapigwa na Mapanga.Nawashauri wajiweke fiti kimazoezi na watembee na miguu ya kuku
 
Acha ushamba wewe, huyo boss wa kampuni kubwa ya Exoll Mobile anauwana kwa kupigwa risasi mgahawani ..... sembuse mbunge kuibiwa? hapo jiulizi kama vibaka wameweza kuiba karibu na ikulu, ina maana hatuna uhakina na usalama wa ikulu zetu?

sasa kama mbunge analalamika... Na wa ndo watunga sheria.. Sisi wengine tufanyeje?. Kumbuka mbunge anapewa gari na dereva kwa kodi za wananchi(kukopesha) no difference... But wenyewe wamekuwa watu wa kulalamika so inawezekana hata rais wa nchi mwenyewe analalamika sana tu kama hawa
 
na mauzi ya nchi hiii, yasije wakuta ya Marehemu Ditto...

Mbunge unatembea kirahisi hivyo. Hata mguu wa kuku huna tena wakati huu ambao kuna siasa za uhasama mpaka wabuge wanapigwa na Mapanga.Nawashauri wajiweke fiti kimazoezi na watembee na miguu ya kuku
 
Pole sana kamanda.

Pole sana Kamanda Msigwa. Next time ukikutana na vibaka just don't resist give them the cash and tell them you will pray God to forgive them. About your contacts next time visit Zoota and store your contacts it's easy and you can always recover them in case you loose your mobile. Kama Mheshimiwa use smart phones, android or Apple with high profile security. Nakuombea Mungu upone majeraha upesi
 
Back
Top Bottom