Peter Kisumo Vs. Anne Killango - vita vya maneno

Mkuu Heshima Mbele,

Mama Kilango, ana washauri wazuri sana wanaomlinda kisiasa, yeye ni mbunge mwanamke wa Same East, ambako mwanamke bado ni mwanamke na hizi za kisumo ni siasa za jimbo la Ubunge, sio za taifa kama unavyofikiri,

Siasa za Tanzania sio sawa na za huko majuu, at the end of the day bado Kisumo ni mwanaume anyetakliwa kuheshimiwa huko upareni, pamoja na mapungufu yake, jimbo la ubunge sio sawa na The Truth Commision,

Ndio maana Mama Anna Abdallah, amemaliza political career yake, baada tu ya kumrushia maneno Mama Kilango, Kisumo sio active politician hana anything to lose, Mama kilango, has a lot to lose than to gain kwa kurushiana maneno na a loser kama Kisumo, ambaye sasa hivi anaisha na pombe.

Ahsante Mkuu!

So this is now turning to be about one's career and how best to protect it? Not about that unflinching fire in the belly that was quoted as having no mercy, even if it meant blasting Mzee John Samwel? Haya!

And then whats with the Chauvinism, kwa kuwa Kisumo ni mwanamme basi Mama awe subservient? Mbona hakuwa subservient pale bungeni alivyokuwa anapata political brownie points at the deprecatively humorous expense of her husband? Or was it all a calculated political manouvre? A staged gladiators circus to ignite an excited reaction with neither depth nor substance?

Huh?
 
a loser kama Kisumo, ambaye sasa hivi anaisha na pombe.

YOU HAVE SPOKEN IT..HUYU MZEE NI MLEVI SANA ..THE OTHER DAY WE WERE TAKING THE FLIGHT TO KIA ...ALIKUWA AKIBISHANA NA MA AIR HOSTESS PALE DIA ...ALIKUWA AMELEWA NA AKIJARIBU KULAZIMISHA FAVOUR AMBAYO HAIWEZEKANI..OFFCOURSE ILIKUWA UPANDE WA ECONOMY CLASS......AKAAZA KUWAHOJI WALE "...MNANIJUA MIMI?"...everybody was puzzled kwa kuwa maskini those girls they cannot know him ..for heaven sake!!!...hata seniors tuliokuwa pale tunamjua ni wachache..yeye alidhani anajulikana sana..,its so sorry kama mtandao wameshindwa hata kumpa pass ya kupita VIP na kupanda business class ....apendavyo au ANGALAU KUMPA KAUJIKO KAKUMFANYA NA VIJANA WA LEO WAMJUWE!
 
............. Kisumo sio active politician hana anything to lose, Mama Kilango, has a lot to lose than to gain kwa kurushiana maneno na a loser kama Kisumo, ........

Point nzuri hiyo. Njaa ina majaribu yake, na Peter (Petro) Abdallah Kisumo ana njaa kali sana. Kisumo wa miaka ya 60 - 80s siyo Kisumo wa sasa. Amechoka na hana uzito wo wote politically.
 
Mbona hakuwa subservient pale bungeni alivyokuwa anapata political brownie points at the deprecatively humorous expense of her husband?

Kijana mdogo, hebu soma maneno mazito ya PM, na Mzee Kiungani, pale bungeni zilikuwa siasa za taifa against the sitting Prime Minister who happened to be the our sitting president's best friend, hizi za Kisuom siasa za jimbo la Ubunge,

Mama Kilango, yuko kwenye the right track, wiki tatu zilizopita alikwenda jimboni kufungua mradi wa visima 30 kwa wananchi wa jimbo lake, baadye akarudi bungeni kuwahi hotuba muhimu ya bajeti ya waziri ya Kilimo, Ijumaa amerudi tena jimboni kusimamia mradi w visima, jana amerdui bungeni na next week ataondoka kwenda DC, US akifuatana na Mama Makinda, kwenye kozi maalumu ya mwezi mmoja on utawala bora wa serikali, atakapomaliza atarudi shuelni Dodoma kumalizia Degree yake ya uchumi pale Open University,

Ndio maana ninasema kuwa kwa nafasi kama yake ya ubunge tu, so far yuko kwenye the right track na siasa zetu za kibongo bongo.

Ahsante Tena Mkuu.
 
FMES,

siasa zetu za kibongo bongo

Ulivyochomekea hiyo hapo juu nimekuelewa, lakini JF is attempting to raise above that level, to sorta take politics za kibongo bongo to the next level.Isn't that what we are about hapa?
 
MOTO aliouwasha Mbunge wa Same Mashariki (CCM), Anne Kilango Malecela, kuhusu wizi wa fedha za akaunti ya malipo ya madeni ya nje (EPA), umeendelea kuzua makubwa, baada ya mwanasiasa mkongwe nchini, Peter Kisumo, kumshutumu mbunge huyo machachari kuwa ana idhalilisha CCM.

We don't have time with losers like Kisumo, Yaani yeye anaweka CCM kwanza kabla ya Utaifa what a d**.
 
Kwasababu ni wazi wote wamekubaliana kuwa huyo mzee Kisumo ni political looser...Then kama kweli mnapigania hoja ya Mama Killango mngehakikisha kuwa mnamtaja huo ambaye mama keshaweka wazi kuwa amemtuma Kisumo.
Kubakia kumponda tuuu mzee Kisumo bila ya kuangalia kuwa njaa zake ndizo zilizompatia mtu wa kumtuma kufanya hayo then tunarudi nyuma...Kuwa ni bora TO PENETRATE STRAIGHT MESSAGE WISE ILI WANANCHI WAJUWE KWELI LEVEL ZA MAMA NA KISUMO kwa sasa ni za tofauti.
Shida tuliyonayo waafrika especially watanzania ni uzungukaji mbuyu.
 
I knew the guy when he was RC kule Mbeya... na miwani yake myeusi (I don't know if he still wears them) lakini alikuwa anajihisi ni kigogo. Nadhani ilikuwa ni mojawapo ya jitihada za mwisho za kumsaidia kumpa nafasi ya ulaji katika miaka ya kuzama jua.
 
Full Stop.

Full stop ya nini na wakati inadaiwa katumwa?

Mbona mnapenda kupiga mizoga tu mnaacha SIMBA WENYEWE na huku mnajiita eti Field Marshalls?

Hao waliomtuma ndio wa kupambana nao na si kusema tu huyu mzee ni looser...Ofcourse inaonekana na wengi kuwa ni looser...Na ndiyo maana hata Mama akasema si yeye bali katumwa...Kama nyie ni MAKAMANDA WA MAMA...Basi mngefuata ushauri wa PUNDIT.
 
I knew the guy when he was RC kule Mbeya... na miwani yake myeusi (I don't know if he still wears them) lakini alikuwa anajihisi ni kigogo. Nadhani ilikuwa ni mojawapo ya jitihada za mwisho za kumsaidia kumpa nafasi ya ulaji katika miaka ya kuzama jua.

Huyu Mzee alishakua Mkurugenzi wa Bodi ya Kiwanda cha Sukari cha TPC (Tanganyika Planting Company) kama sikosei kile kiwanda watu wakagawana utajiri kikashindwa kujiendesha mpaka walipopewa wale wa Mauritius.Kifupi enzi za Kisumo zimeshapita.
 
Kama nyie ni MAKAMANDA WA MAMA...Basi mngefuata ushauri wa PUNDIT.

Katika vitabu vya dini, Mungu anasema mfalme anyefaa kwa taifa na wananchi, ni yule mwenye washauri makini,

Wewe na Pundint ni Mama Kilango haters, hamuwezi kumsaidia anything, anyeweza kusmaidia ni yulke kijana Innocent kutoka Houston, aliyetoa mawazo yake last week na pale pale tukam-forwardia Mama Kilango, yale mawazo kwa sababu yalikuwa na nia njema kwa taifa na wananchi,

Je haya yenu yana-fit kwenye hiyo line ya kuelimisha taifa na kusaidia wananchi, kwa sababu mnakuwa kama huyo Kisumo na hizi kelele za mlango, hivi hamna any positive ideas zaidi tu ya matusi ya nguoni kwa kina mama viongozi?

Unapokuwa huna hoja on the topic wakati mwingine ni busara ku-zip it up! Filimbi nyingi mno kwani wewe huyajui majina ya mafisadi na ushahidi yaliyotolewa na Dr. Slaa kwenye ile list niliyoileta hapa JF, je umewahi kufanya nini about it ambacho utaklifanya this time arround ukipewa haya majina?
 
Ndio maana Mama Anna Abdallah, amemaliza political career yake, baada tu ya kumrushia maneno Mama Kilango, Kisumo sio active politician hana anything to lose, Mama kilango, has a lot to lose than to gain kwa kurushiana maneno na a loser kama Kisumo, ambaye sasa hivi anaisha na pombe.

Ahsante Mkuu!

MKUU TUELEZE KIVIPI ANNE ABDALLAH AMEPOTE KTK SIASA ZETU ETI KWA KUTOFAUTIANA NA ANNE KILANGO? JAMII BADO INAMUONA KILANGO KUWA NI SEHEMU ILEILE YA CCM NA SIASA ZAKE, KWA HIYO WAO KULUMBANA KWAO HAKUMPI HATA MMOJA WAO NAFASI YA KU GAIN NA KU LOSE.

ANNE ABDALLAH ANAFAHAMU SASA NDIO AMEFIKIA HATIMA KTK SIASA ZA KISHINDANI ILA KILANGO BADO NI MWENYE HAMU NA SIASA ZA SASA.

MIND YOU, CCM BADO INAWATEGEMEA WATU KAMA ANNE ABDALLAH KTK MAAMUZI NYETI YA NCHI YETU, TUOMBEE SALAMA MH.JAKAYA M.KIKWETE AISOGEZE NCHI MAHALA SALAMA KWA FUTURE GENERATION.
 
MKUU WA MEDANI TAFADHARI SANA TUAPATIE HII"Dr. Slaa kwenye ile list niliyoileta hapa JF, je umewahi kufanya nini about it ambacho utaklifanya this time arround ukipewa haya majina? "
 
DAILY NEWS Reporter
Daily News; Wednesday,August 06, 2008 @00:03

Prominent retired politician, Mr Peter Kisumo, has refuted reports by a local newspaper that he criticized Same MP, Mrs Anne Kilango Malecela’s statement she made in parliament regarding the Bank of Tanzania (BoT) External Payment Account (EPA) saga.

In a statement released yesterday, Mr Kisumo said he is seeking advice from his counsel on what legal action to take against the newspaper, Tanzania Daima, and the author of the story. “I have never called a press conference where I lashed out at Mrs Malecela…I know the legislator and I have respect on her capabilities in and outside Parliament”, he said.

He further said that the author of the article, Mr Charles Ndagulla, had never interviewed him and wondered where he came up with the material published in the newspaper. The article, he said, has surprised him and the fact that it was reported by only one person and not the other reporters who were at the said press conference serves to prove that the article was a fabrication.

“I remember giving an exclusive interview to a reporter from Mwananchi newspaper on July 27 and we talked about issues concerning the union between Tanganyika and Zanzibar. During the interview, the reporter, Mr Daniel Mjema was alone”, he said. He said that the day before, the United Nations Deputy Secretary General, Dr Asha Rose Migiro, paid him a courtesy call and she was accompanied by several journalists and Mr Ndagulla was one of them.

However, Mr Kisumo said on that particular day he never talked to the journalist and had a private conversation with Dr Migiro who had gone to console him over the death of his wife. “How could it be possible that such a serious matter was not be reported by other newspapers?” he queried. He also said that he has never talked about an intention by CCM’s General Assembly delegate Aggrey Marealle, to run for a parliamentary seat as reported by the newspaper.

“Mr Marealle has never talked about his interest in running for the Moshi Urban seat and the party has not nominated him, how can I oppose something that is yet to happen? I am a loyal member of CCM and will support any candidate the party nominates”, he said. The newspaper reported in its August 4 edition that Mr Kisumo had said that Mrs Malecela is embarrassing the ruling CCM for being outspoken in Parliament about the Bank of Tanzania (BoT) External Payment Account (EPA) saga. The paper reported that Mr Kisumo had accused Mrs Malecela for performing the functions of opposition MPs while she is a legislator on the CCM ticket.

Pundit,
Nadhani umefika wakati kwa sisi wana-JF tuwajibike kutokana na kauli na matendo yetu. Hebu angalia huyu Mzee alivyoshambuliwa hapa jukwaani vv maelezo yake binafsi yaliyochapishwa katika Daily News.
Wachangiaji hawakujipa muda wa kupambanua na kupata ukweli ni upi na ninadhani pia baadhi yao walimshauri vibaya Anne. Nimeona tofauti yako na wengine.
 
huyu mzee amezeeka pamoja na ubongo maana hakuna mzee kama yeye awezaye kusema maneno kama hayo
 
Huyu Mzee naye inawezekana msanii tu ana spin mambo.Mama Kilango msanii, Kisumo msanii Daily Noize wasanii basi shida tupu!
 
akienda mahakamani na kuisuu Daily News na kushinda au kupata out of court settlement au an apology from the Daily News ndiyo njia ya mzee kuweka rekodi sawasawa.
 
1. Wachangiaji hawakujipa muda wa kupambanua na kupata ukweli ni upi na ninadhani pia baadhi yao walimshauri vibaya Anne. Nimeona tofauti yako na wengine.

2. Huyu Mzee naye inawezekana msanii tu ana spin mambo.Mama Kilango msanii, Kisumo msanii Daily Noize wasanii basi shida tupu!

1. It does not matter kama Kisumo alisema au hakusema, alichojibu Mama Kilango, na ambacho tumekiunga mkono, na bado tunakiungamkono kwa 100% ni hoja ya majibu kutoka kwa Mama Kilango, bado ni appropriate kwa hoja zilizotolewa kwenye hilo gazeti, kwa sababu somebody said something, haiwezekani kuwa haya maneno yametungwa na waandishi tu kuamini hayo ni mufilisi mkubwa sana wa uwezo wa kufikiri na kupambanua ishus hasa kwa yule mwenye kuamini hayo,

2. Maneno kwamba eti Mama kilango ni msanii, ninayaita ni matusi ya nguoni na hasa mrushaji maneno hayo anapokuwa hana hoja wala sababu maalum ya kimsingi, na huwa ninasema kuwa kuyajibu exactly kama yalivyo ni fair game, hivi mkuu wewe na Mama Kilango, a real msanii ni nani? Hrbu jiangalie kwenye kiooo kabla hujajibu hili swali, maana it is all over you yaani usanii, hivi huwa huoni hata aibu?

Kazi kubadili rangi tu, kama wewe sio msanii kwa nini usisimame kwa rangi moja, juzi nimekuwekea kitanzi kuwa ninakuheshimu sana kwa rangi hii, here you are umeupanda mkenge bila hata kujua, toka niseme vile sasa umesimamia hapo bila kujua kuwa ulikuwa mtego tu, kabla hujaita viongozi wako wa taifa, waliochangulkiwa na wananchi kuwawakilisha bungeni wasanii bila ya sababu wala hoja, jiangalie kwenye kioo kwanza mkuu maana usanii uko all over yourself! na hapo juu hizo quote zinajisema zenyewe, au?

na besides Mama Kilango siye aliyenunua Kiwira na Mkapa, huku wananchi wanakufa na njaa, aibuu!

Ahsante Mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom