Pete za ndoa na mahusiano ya nje ya ndoa

Watu wanatofautiana kitabia, kuna watu ambao ni waaminifu kwa wenza wao na kuna ambao ambao sio waaminifu na kwa maana hiyo hata kama mtu amevaa pete ya ndoa bado tabia yake inabaki pale pale. Aidha kuna wale wanaovaa pete ya ndoa kama fashion; kwa maana hiyo mtu kuwa na kutokuwa na pete ya ndoa sio uthibitisho kuwa kaolewa au kaoa, kuna wale ambao wameoa lakini imani zao haziwaruhus kuvaa pete na bado wana tabia za kutoka nje kwa hiyo unaweza kutana na mtu ambaye hana pete ukadhani ni jimbo huru kambe lina mwenyewe au amevaa pete kubwaaaaaaaa anavunja "amri ile" ukamwingiza kwenye kundi la wenye ndoa kumbe ni hana ndoa.
 
Mimi ninaamini kwamba lengo la pete za ndoa ni kuonyesha kwamba huyu mtu (Mwanamke au Mwanaume) ameoa ama ameolewa. Kinacho nishangaza na nimeshuudia hawa jamaa wenye pete wana mahusiano nje ya ndoa na mkononi ana pete kubwaaaaaaaa sasa je wahusika wanapokuwa wana anza haya mahusiano uzi tupa kando then wakifanikiwa wanazivaa? Je dada zetu na kaka zetu wana watamani watu walio ndani ya ndoa? au ni fashion? who is to blame?

Kumbuka kuna wengine wanavaa pete kama fashion kwa hiyo sio wote unaowaona na pete za ndoa wameolewa au kuoa
 
pete ni gamba tu jamani.

tuacheni unafiki, kama umeoa, basi penzi tamu liko nje na si ndani ya ndoa. huko nje kutamu jamani msisiskie. na hutokana na wanawake wakishaolewa kubweteka wakitaka mwanaume awatumikie badala ya wao kumtumikia kwa malovee. zamani nilikuwa namtwanga sana wife makofi kila anapoleta za kuleta, baadaye nikagundua kitu, solution ni kuwa na nyumba mbili, moja kubwa ya kutunzia status na nyingine ndogo ya kula na kufaidi nchi! tangu nimekuwa kwenye hii modality, life is so sweet and smoooth kabisa!!

ila wife nikisikia tu kanusa nje, anakula ban!
 
Namshukuru Mungu kwa kuiokoa na kunijulisha kweli. Pete haina nafasi yoyote katika ndoa, isipokuwa mtu yeye mwenyewe ajiheshimu na kuwa mwaminifu. Pepo wa ngono haogopi pete bali anaogopa mtu mwe Yesu Kristo moyoni mwake.
 
pete ni gamba tu jamani.

tuacheni unafiki, kama umeoa, basi penzi tamu liko nje na si ndani ya ndoa. huko nje kutamu jamani msisiskie. na hutokana na wanawake wakishaolewa kubweteka wakitaka mwanaume awatumikie badala ya wao kumtumikia kwa malovee. zamani nilikuwa namtwanga sana wife makofi kila anapoleta za kuleta, baadaye nikagundua kitu, solution ni kuwa na nyumba mbili, moja kubwa ya kutunzia status na nyingine ndogo ya kula na kufaidi nchi! tangu nimekuwa kwenye hii modality, life is so sweet and smoooth kabisa!!

ila wife nikisikia tu kanusa nje, anakula ban!

Hapo hujapata solution bali umeongeza matatizo ndugu, siku mambo yakikugeukia utajuta kujaribu hayo unayoyafanya sasa. Pole sana kwa upotofu nakushauri acha mara moja huo mchezo
 
pete ni gamba tu jamani.

tuacheni unafiki, kama umeoa, basi penzi tamu liko nje na si ndani ya ndoa. huko nje kutamu jamani msisiskie. na hutokana na wanawake wakishaolewa kubweteka wakitaka mwanaume awatumikie badala ya wao kumtumikia kwa malovee. zamani nilikuwa namtwanga sana wife makofi kila anapoleta za kuleta, baadaye nikagundua kitu, solution ni kuwa na nyumba mbili, moja kubwa ya kutunzia status na nyingine ndogo ya kula na kufaidi nchi! tangu nimekuwa kwenye hii modality, life is so sweet and smoooth kabisa!!

ila wife nikisikia tu kanusa nje, anakula ban!

Nashukuru sana kwa mchago wako mzuri na una uhuru wa kuongea na kuchangia mada....lakini kwa hilli sidhani wanaJF watalikubali huu ni upotoshaji dhairi shair na ni udhalilishaji wa kijinsia ambao unatokana na mfumo dume (Male shouvenism??) kama unafanya hivo taratibu jaribu kujirudi na mpende mkeo na ukishindwa basi usimban
 
Kumbuka kuna wengine wanavaa pete kama fashion kwa hiyo sio wote unaowaona na pete za ndoa wameolewa au kuoa

Pete kama fashion its okay lakini kila kidole kinamaana yake..... pengine sio fashion ni kuto elewa hivi vidole vinamaanisha nini vikiwa na pete!!!
 
Haswa !! Nilikusudia kuuliza swali hili ,kuhusu pete vidoleni na maana yake
kwa kila kidole wataalamu tupeni ufafanuzi.
 
Nashukuru kwa kutaka kujua hila kwa sheria ya jamvi hii itakuwa nje ya topic.... so inabidi ufungue mjadala zaidi kuhusiana na hilo. Si unajua vigezo na masharti kuzingatiwa. Hapa tuongelee peze za ndoa na mahusiano nje ya ndoa.
 
Back
Top Bottom