Pete ya uchumba!

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,808
59,317
Great thinkers naombeni uzoefu wenu kwenye hili...Kama uchumba ukivunjika pete inarudishwa au anabaki nayo binti?Kama inatakiwa kurudishwa je ni lazima ama?
 
Kwa maoni yangu kama aliyevunja uchumba ni Mwanamke bila sababu yoyote ya muhimu labda kutokana na vitendo vya mwanaume basi hana budi kuirudisha pete ile ya uchumba lakini kama ni Mwanaume ndiye aliyevunja uchumba bila sababu yoyote ya muhimu iliyosababishwa na vitendo/tabia ya/vya mchumba wake basi hakuna haja ya kuirudisha pete hiyo.
 
Best unataka nirudishia Pete nlokuvisha! Your name is engraved on it! Mmmhhh kaa nayo tu usiivae tu
 
ahh fasta sana naenda kuibadirisha na kuifanya pete ya kawaida inakuwa km fidia ya usumbufu kwa sababu zozote zle mimi au yeey chanzo.
 
Kwa maoni yangu kama aliyevunja uchumba ni Mwanamke bila sababu yoyote ya muhimu labda kutokana na vitendo vya mwanaume basi hana budi kuirudisha pete ile ya uchumba lakini kama ni Mwanaume ndiye aliyevunja uchumba bila sababu yoyote ya muhimu iliyosababishwa na vitendo/tabia ya/vya mchumba wake basi hakuna haja ya kuirudisha pete hiyo.

Asante BAK!Nimejifunza kitu!Mzima lakini?
 
ahh fasta sana naenda kuibadirisha na kuifanya pete ya kawaida inakuwa km fidia ya usumbufu kwa sababu zozote zle mimi au yeey chanzo.

Yeah hata mi naona ...kumrudishia ni kama unaignore muda uliopoteza nae!
 
Nirudishe wapi mchungaji!?BAK kanipa ujanja...ntakutegea ulikoroge wewe...alafu naipiga bei!

Hahahahahaha sasa mtakuwa mnategeana nani alikoroge! mmoja akitaka abaki na pete kama kifuta machozi na mwingine hataki pete yake ivaliwe. Kazi kwenu mtajiju....lakini mkitaka niwapatanishe basi mnakaribishwa sana.
 
ahh fasta sana naenda kuibadirisha na kuifanya pete ya kawaida inakuwa km fidia ya usumbufu kwa sababu zozote zle mimi au yeey chanzo.

Hahahaha....sasa na yeye atafidia vipi usumbufu aliopata?
 
Nirudishe wapi mchungaji!?BAK kanipa ujanja...ntakutegea ulikoroge wewe...alafu naipiga bei!

Best sasa chapa niliyoiweka kwenye moyo utafanya operation? Kufuta tatoo shingoni kuachwa kubaya
 
Hahahahahaha sasa mtakuwa mnategeana nani alikoroge! mmoja akitaka abaki na pete kama kifuta machozi na mwingine hataki pete yake ivaliwe. Kazi kwenu mtajiju....lakini mkitaka niwapatanishe basi mnakaribishwa sana.

mkuu usitamani ka mwanakondoo ka mchungaji!
 
Hahaha we BAK bwana...anataka kumvuta mwanakondoo karibu zaidi ili asipotee!Alafu we unataka kuimba tu?Mbona kadi ya mchango hujaulizia!? BTW asante kwa kibao..ngoja mchungaji arudi tusikilize!
 
inategemeana, mie nitairudisha kama inaninyima amani, ila kama nina amani na nilimpenda kwa dhati ya moyo wangu wote, basi kwa heshima ya moyo wangu uliompenda hata akiniomba nitamuomba aniachie kwa ajili ya ukumbusho hadi nitakapopata mchumba mwingine ndio nimrudishie. sio lazima niivae, naweza kuiweka tu kabatini au kwenye dressing table niwe naitazama ninapovaa nguo
 
Basi na mimi nichore ili tuogope kuachana!

Mtego huo hahahah! Kwa kazi yangu ya uchungaji tattoos haziruhusiwi! Niambie kitu kingine! Ningeshauri tupate Masa Juniour ili kuachana kusiwe ni option. Kwa dawa za kichina twins will be okay haha hah
 
Hahaha!Nani ataona sasa??Mapacha kabisa?Haya ngoja nifikirie nakuja na jibu sasa hivi!
 
Hahaha we BAK bwana...anataka kumvuta mwanakondoo karibu zaidi ili asipotee!Alafu we unataka kuimba tu?Mbona kadi ya mchango hujaulizia!? BTW asante kwa kibao..ngoja mchungaji arudi tusikilize!

Hahahahahaha Mwanakondoo huyu nimempenda ndiyo maana najitahidi kumvuta kwetu kwa karibu zaidi. Mchango wangu wala usiwe na wasi wasi nao utawasili mara tu mtakapokuwa tayari kuanza kukusanya michango. Hao mapacha kama wakiwa majaliwa basi naomba niwe God Father wao.

Hahaha!Nani ataona sasa??Mapacha kabisa?Haya ngoja nifikirie nakuja na jibu sasa hivi!

hahahahaahh umenichekesha sana! Kuna mdada mmoja alimnunulia mpenzi wake chupi nzuri sana za kwenye sale za Calvin Klein kama 10 hivi. Ila shida zote zilikuwa za rangi moja. Jamaa akamshukuru sana ila mpenzi mbona zote zinafanana? Sasa si watasema nina chupi moja tu? Mdada akamuuliza akina nani hao? Jamaa hakuwa na Jibu. Inabidi niwe mpole tu sasa nitachora jina lako kwenye paja langu.
 
Back
Top Bottom