Pete ya uchumba

Mkuu kwani umekuwa bubu mpaka ukose maneno ya kumwambia mpenzi wako au mchumba wako mtarajiwa
hayana formula ni wewe tuu na mapenzi yako na unavyompanda mwenzako
Mambo mengine yanakuja yenyewe bana hayahitaji utumie nguvu kubwa kama unasukuma gari


tehetehetehe bado hujamjibu
 
Wakuu kwanza ukitaka kumvisha mtu pete ya uchumba ni lazima kwenda kwanza kujitambulisha au hata wewe na yeye ni sawa tumpaka muda wenu ukifika wa wazazi wajue??
 
Back
Top Bottom