Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 409
Kwanin tukunje vidole vyakati, jibu kwanza hili.
Zinavunjika kama zinavyofungwa pamoja na white gold rings!
Nafikiri kwa maisha ya sasa, pete ya ndoa husaidia kusema kwa nguvu kuwa "I am not available" basi, ingawa bado kutangaza huko hakumfanyi mtu kuwa unavailable if s/he want to be 'available'.
Mwisho wa siku twaweza sema ni utamaduni tu na ibada/ritual kwa baadhi ya madhehebu!
Sweetie,u can choot whatever u want but truth stands!
I wish ningeweza demostrate kwa video, ila ngoja nijaribu!
Unganisha palms zako, vidole viendane, yaani kidole cha kati cha kushoto kigusane na cha kulia cha kati!
Vikunje vidole vya kati peke yake!
Vikiwa hivyo hivyo vimekunjwa, Jaribu kuachanisha vidole vidogo, utaweza, gumba (piece of cake), vya kupointia pia utaweza lkn huwezi achanisha vidole vya pete kama vidole vya kati vikiwa vimekunjwa. Hiyo inasymbolize kuwa marriage hazipaswi kutenganishwa na kama vile kidole cha pete usivyoweza tenganisha na kidole cha mkono wa kulia.
Source: padre mmoja wakati wa mahubiri ya ndoa!
Which truth?
That Ring history . . . . . .!!
Kwanin tukunje vidole vyakati, jibu kwanza hili.
So far l have heard 3 ring histories! I guess l will have to choose one to believe just like u have chose the one you want!
hata nikikunja vidole vidogo in inside out, bado ni ngumu kuachiana...kwa hiyo, kidole ni kidole, chochote can serve the purpose.
Ngoja niwaambie hii ambayo hamtaipenda:Wakati wa utawala wa Babeli,kulikua na imani ya kipagani,walikua wanaabudu sayari pamoja na nyota,hivyo walikua na miungu wengi,walikua 36,mungu mkuu alikua jua na alikua ana siku yake maalum ya kuabudiwa.Lakini pia miungu hii ilikua na alama tofauti ya kumuwakilisha kila mungu.Mungu jua ambae ndie alikua mkuu aliwakilishwa na alama ya circle,hivyo waumini hao walikua wanaivaa kidoleni kuonesha imani yao.Pete ilikua inavaliwa tangu nyakati hizo na ziliingizwa kwenye masuala ya ndoa na ibada ikipewa tafsiri kivuli lakini hiyo ni ishara ya imani kwa mungu jua.Hivyo ni upagani!
pamoia na maelezo na utetezi wa hii kitu binasi sioni weledi wa kuchagua mkono na kidole. tunaaminishwa NDOA NI BARAKA YA MUNGU ALOKIFUNGA MUNGU HAKUNA WA KUKITENGANISHA. Nakubaliana mia kwa mia juu ya hoja hiyo.kinachonitanza ni KWANINI IWE MKONO WA KUSHOTO UPEWE HADHI HIYO???KWANI KAZI ZIFANYWAZO NA SHOTO HAMZIJUI HUSUSANI CHOONI?????Zinavunjika kama zinavyofungwa pamoja na white gold rings!Nafikiri kwa maisha ya sasa, pete ya ndoa husaidia kusema kwa nguvu kuwa "I am not available" basi, ingawa bado kutangaza huko hakumfanyi mtu kuwa unavailable if s/he want to be 'available'.Mwisho wa siku twaweza sema ni utamaduni tu na ibada/ritual kwa baadhi ya madhehebu!
pamoia na maelezo na utetezi wa hii kitu binasi sioni weledi wa kuchagua mkono na kidole. tunaaminishwa NDOA NI BARAKA YA MUNGU ALOKIFUNGA MUNGU HAKUNA WA KUKITENGANISHA. Nakubaliana mia kwa mia juu ya hoja hiyo.kinachonitanza ni KWANINI IWE MKONO WA KUSHOTO UPEWE HADHI HIYO???KWANI KAZI ZIFANYWAZO NA SHOTO HAMZIJUI HUSUSANI CHOONI?????
usijali mamito!