Pesa!!!!!!!

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Ikuwa kama ndoto jamaa alielala fofofo, asubuhi anajishikia kuwa kuna noti ya sh 5000 mpya imekunjwa na kuingizwa kwenye ikweta/shimo kubwa, akaitoa hiyo noti akaenda zake kwenda kuitumia, siku ya pili kuamka anakuta elfu kumi imekunjwa kama sh 5000 ya jana yake, bila kuwaza akachukua hiyo noti na kwenda kuitumia, siku ya tatu alipokuwa amelala akahisi kuna kitu kikubwa na kigumu kinaingizwa mkun....ni, akatulia na kuvumilia ingawa alikuwa anaumia kwa kudhani alikuwa anaingiziwa milioni, mhh kumbe alikuwa analiwa uroda.
 
So siku zote mbili alipokuwa anakuta hzo pesa alikuwa anafanyiwa kitendo hko?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom