Pesa zilizofishwa uswisi

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
266
hii imekaaje?

196149_10151840956290576_843746599_n.jpg
 
Wizi wa wakubwa wa mali za umma hupeleka fedha zao benki za nje, na huko huzipokea kwa mikono miwili, wanajuwa huwezi kuzitumia zote lakini ngoja wizi wa Europe wazilete huku Afrika. Utasikia "money laundering".

Huo ndio ujinga wetu.
 
kama chenge ameficha hela za wizi huko,ze bigboss hakosi kuwa ameficha huko,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom