Pesa zao za mziki zinaliwa na kina nani?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
dah sielewi elewi
246847_10150206544284659_615944658_6945765_742268_n.jpg
 
aisee kuna wakati unakutana na mtu, ghafla mwili wote unaishiwa nguvu na woga juuuuuuuuuu! wala huwezi kusema eti kule lindi walimsingizia. sura yenyewe inajieleza kinagaubaga!
 
1.Sasa natangaza adui yetu ni wadosi swala la haki miliki,kama wao wanaibiwa mbona hawalalamiki?-Sugu
2.John mjema kajiua kisa nyinyi(promoter/ruge) ndo source mkwanja mbuzi mnaotulipa hautoshi kununua mavazi,vipi malazi? Mnataka wote tuwe majambazi?-Solo Thang
3.Shabiki ana-burn nyimbo na shoo anaingia free-Roma Mkatoliki

Nawasilisha
 
Tatizo kubwa hili........bange sio tatizo asee, tatizo ni mtumiaji bana!!
mbona mi natumia sivai ndala tofauti au kushusha sarawili hadharani?
 
ganjaa farmer call m ganjaa blanter...yani hao ni ndumuu people,ilaa wanatia aibu wachafuuuu....sidhani kama nikio cha jamiii.wanaimba vizurii ila kwa nguvu ya cha arushaaaa wanakuwa na isia kaliiii
 
Back
Top Bottom