Pesa za Zimbabwe!! (MAKARATASI)

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,319
33,125
Milioni moja za Zimbwabe = Baiza mia za Oman

Inamaana ukiende hoteli ya hali ya juu inabidi ubebe mfuko mkubwa wa noti

AOAf4-dx15_215149156.jpg

Na kulipa kwa Visa Card hairuhusiwi kwa hiyo inabidi ubebe mfuko mkubwa wa noti

Kila mtu ana ma-bilioni lakini ni masikini

Noti moja tu ya Milioni Mia Tano

1G4Pe-6iSg_149001415.jpg


Mfuko wa chakula cha kukauka kwa 50 milioni

74dc8-KXOy_608713446.jpg

Khas 5, kwa milioni moja


8NtSv-F64e_125066139.jpg


8a10j-aGDI_900090417.jpg

Kuku Milioni 10
7W31b-wQgQ_387717803.jpg

Bili ya Dinner (Malipo ya Chakula cha usiku tu)
5tr1H-pNW0_61754375.jpg

Dola Moja sawa na Noti zote hizi

oH13X-d2Om_258517341.jpg
 

Attachments

  • 1G4Pe-6iSg_149001415.jpg
    1G4Pe-6iSg_149001415.jpg
    12.1 KB · Views: 97
  • 5tr1H-pNW0_61754375.jpg
    5tr1H-pNW0_61754375.jpg
    28.5 KB · Views: 95
  • 7W31b-wQgQ_387717803.jpg
    7W31b-wQgQ_387717803.jpg
    32.5 KB · Views: 90
  • 8a10j-aGDI_900090417.jpg
    8a10j-aGDI_900090417.jpg
    16.3 KB · Views: 88
  • 8NtSv-F64e_125066139.jpg
    8NtSv-F64e_125066139.jpg
    20 KB · Views: 92
  • 74dc8-KXOy_608713446.jpg
    74dc8-KXOy_608713446.jpg
    44.6 KB · Views: 94
  • AOAf4-dx15_215149156.jpg
    AOAf4-dx15_215149156.jpg
    7.7 KB · Views: 92
  • oH13X-d2Om_258517341.jpg
    oH13X-d2Om_258517341.jpg
    11.1 KB · Views: 96
kama zile za ZAIRE enzi za Mobutu! Milioni 3 tulikuwa tukinunua chupa moja ya soda!
 
Mi naona poa tu!!

Tusicheke wenzetu, mbona sisi hapa Tanzania tunanunua kuku kwa sh. elfu 9,000/= wakati Japan Dollar 9,000 unanunue Toyota Landcruser Prado!!!!

Hayo ni makaratasi tu, real value ya kitu iko sawa (after adjusting for transport cost & taxes) whether unanunua Zimbabwe ama New York!!
 
Nilisikia kama vile Zimbabwe wameacha kutumia noti zao za mamilioni na wanatumia Rand ya Afrika ya Kusini au Dollar ya Marekani
 
nnilpotoka zimbabwe kwa ndege mwaka huu mwanzoni nilitumia trilion 90 had bongo
 
hata hapa bongo ni hayohayo pesa yetu nayo bure tu ukienda mwanza kuku mmoja anauzwa mpaka 20000 na mbuzi kwenye mnada wa igoma wanafika mpaka 120000 hasa wakati huu wa msimu wa sikukuu,je kunatofauti gani na zimbabwe hapo,
 
Pesa za US pia,ukiwa Tanzania zina faida,ukiwa USA,ni makaratasi tu.
mukulu sijakuelewa fafanua una maana gani???au ni matatizo ya lugha yetu hii hii ya kiswahili...plzz fafanua ili tukuelewe vizuri.
 
Mna habari sasa hivi ZIM mshahara sawa kwa wote? Waziri hadi mfagizi ofisini.
CUF ya Lipumba "Haki sawa kwa wote" ilikuwa ina maana hii kwa hapa TZ au Zenji tu?
 
hata hapa bongo ni hayohayo pesa yetu nayo bure tu ukienda mwanza kuku mmoja anauzwa mpaka 20000 na mbuzi kwenye mnada wa igoma wanafika mpaka 120000 hasa wakati huu wa msimu wa sikukuu,je kunatofauti gani na zimbabwe hapo,

Hatujafika huko, lakini tahadhari ya kitaaluma inahitajika tusijefika huko. Muuzaji pekee wa tanzanite duniani lakini bado pesa yetu haina thamani ! Kuna mtu au taasisi inafuatilia hili kwa karibu, tutajashitukia tumewapita Zimbwe bila kuwa na tahadhari za maana!!
 
Pesa za US pia,ukiwa Tanzania zina faida,ukiwa USA,ni makaratasi tu.
Pesa Za US ukiwa hata USA bado zina Faida kakwambia nani kuwa Pesa za USA ni karatasi? mjomba umesoma mpaka Darasa la ngapi hapo bongo?Unafananisha hayo Makaratasi ya Bongo na pesa za USA (Dollar) Mwalimu wako nani wewe aliyekufundisha shule?
 
Back
Top Bottom