Pesa za Pembe za Ndovu Hongkong, ziletwe ili kuhamasisha upigaji Kura, wanachuo walipwe!!!

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,224
Wao wanatorosha wanyama hai, wanapora pembe za Ndovu, wanaiba Gas na madini kwa mikataba feki, wanapeleka Pesa Uswiss, Watanzania tunakosa mikopo, too long to mention....... you can add.

Nashauri hizo Pembe za Ndovu walizopelekwa Hongkong, pesa zake ziletwe ili watu walipwe wanafunzi wa Vyuo.

Kila mwanafunzi anaweza kulipwa Laki moja, halafu kwa mwezi anapiga kura kama 10 hivi kwa email tofauti.

So Kutengeneza vipeperushi tuuu haisaidii. Watu wanavikejeli na kutukana. Eti huku site watu wanasema wao wale pesa sisi tupige kura.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom