BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,007
Haya mabilioni yanaweza kuwa kama ya EPA, tukaambiwa yamerudishwa nchini tusiambiwe hata yamefunguliwa account katika bank ipi na kisha wahusika kutotajwa kama kawaida ya magamba kukingiana vifua ili kuficha dhambi zao. Inabidi tuishinikize ile bank iyaanike majina ya wahusika hadharani na kiasi cha pesa katika kila bank account.