Pesa ni mkombozi au chanjo cha matatizo

Limbukeni

Senior Member
Feb 27, 2009
117
1
Pilika pilika za mwanadamu kila siku zimekuwa zikipimwa na kipato akipatacho ambacho ni fedha za kujikimu maisha yake ya kila siku. Kuna watu ambao kwa mifano hai wanaona bora wasiwe na utajiri kiasi fulani ili kupunguza matatizo fulani, wengine wanaona waatakiwa wawe na pesa ili watatue matatizo yao fulani katika maisha. Je pesa ina umuhimu gani au haina umuhimu gani kwa makundi yote hayo.
 
Last edited:

Similar Discussions

Back
Top Bottom