Pesa na Penzi kipi kinaendesha Dunia?

Sijataja kimojawapo maana ukiwa na kimoja bila kingine maisha hayawezi kukamilika. Vinategemeana..na anaeiendesha dunia ni yule mwenye uwezo wa kutoa/pata vyote.

huwezi ukatumikia mabwana wawili........chagua moja......................mimi nachagua kipendacho moyo tu.....maana hakuna wakuninyang'anya.........................kilicho nje ya moyo wangu wezi, na kutu waweza kuninyang'anya..........
 
Acha uoga ..
Be a man
 
Back
Top Bottom