Pesa na Penzi kipi kinaendesha Dunia?

...Unless tuko kinadharia zaidi na sio kiuhalisia!!
lakini vitu vyote si vinaanzia kwenye nadharia kabla havijawa halisia? Hata nguo tunazovaa huanzia kwenye fikra za mbunifu kisha huchorwa na fundi mshoni huzikalia kitako kuzishona!!
 
Pesa na penzi havina mahusiano yoyote!!!!!bali tumejifisha ulimbukeni na umbumbu kwamba pesa ndio kibali cha kupata mapenzi,wakati ALLAH anaiumba dunia na kuwaumba ADAM na HAWA hakuweka pesa kwenye bustan ya EDEN,bali aliweka vyakula pekee,SHETANI aliyelaaniwa kwa kukataa kum-sujudia ADAM ndiye aliyeleta mambo ya pesa,SASA kama unamfuata SHETANI basi penzi litakuendesha kwa pesa,bali kama unamfuata ALLAH pesa yako utaitumia ktk jihadi ya haki na siyo anasa!!!!!
Nadhani darasa limeeleweka inshaallah!

umeingiza dini hapa,.....mapenzi na dini pia haviendi pamoja.
 
But dini ndiyo inayoendesha maisha!na mapenzi ni sehemu ya maisha.
"SIZINI"ni amri ya 6 m/mungu.
"USIIKARIBIE ZINA"ni aya ya makatazo ya kuzini.
Sasa wewe chagua hapo kt ya aya 2 hizo inayokufaa kukuongoza!!!wabilah tawfiq!!
 
Siwezi kuwasemea wengine ni kipi muhimu zaidi, lakini najua vitu ambavyo pesa inaweza/haiwezi kununua. Baadhi yao hivi hapa:
Pesa inaweza kununua NYUMBA lakini sio MASKANI/MAKAZI
Pesa inaweza kununua CHAKULA lakini sio HAMU YA KULA
Pesa inaweza kununua KITANDA lakini sio USINGIZI
Pesa inaweza kununua KITABU lakini sio MAARIFA
Pesa inaweza kununua SAA lakini sio WAKATI
Pesa inaweza kununua DAWA lakini sio AFYA
Pesa inaweza kununua CHEO lakini sio HESHIMA
Pesa inaweza kununua DAMU lakini sio MAISHA
Pesa inaweza kununua BIMA lakini sio USALAMA
Pesa inaweza kununua SILAHA lakini sio AMANI
Pesa inaweza kununua NGONO lakini sio MAPENZI
Pesa inaweza kununua MWANAMUME/MWANAMKE lakini sio MUME/MKE
...... ........... ..........

kwa hiyo mapenzi ni kubwa kuliko pesa?
 
kwa hiyo mapenzi ni kubwa kuliko pesa?
Mmmmh! Hapa kila mtu na msimamo wake, lakini kwa mtazamo wangu, ukitaka ngono, mwanamume/mwanamke, pesa yako itakufaa; lakini ukitaka mapenzi, mke/mume, utavipata kwa mapenzi tu na *virutubishi vyake.
*Pesa sio kirutubishi cha mapenzi.
 
Kirutubishi cha mapenzi ndiyo nini!!?
 
Siwezi kuwasemea wengine ni kipi muhimu zaidi, lakini najua vitu ambavyo pesa inaweza/haiwezi kununua. Baadhi yao hivi hapa:
Pesa inaweza kununua NYUMBA lakini sio MASKANI/MAKAZI
Pesa inaweza kununua CHAKULA lakini sio HAMU YA KULA
Pesa inaweza kununua KITANDA lakini sio USINGIZI
Pesa inaweza kununua KITABU lakini sio MAARIFA
Pesa inaweza kununua SAA lakini sio WAKATI
Pesa inaweza kununua DAWA lakini sio AFYA
Pesa inaweza kununua CHEO lakini sio HESHIMA
Pesa inaweza kununua DAMU lakini sio MAISHA
Pesa inaweza kununua BIMA lakini sio USALAMA
Pesa inaweza kununua SILAHA lakini sio AMANI
Pesa inaweza kununua NGONO lakini sio MAPENZI
Pesa inaweza kununua MWANAMUME/MWANAMKE lakini sio MUME/MKE
...... ........... ..........
...... ........... ..........
...... ........... ..........
Money can buy people but not friends.
Education but not qualifications.
Woman but not love
Certificates but not education.
Money can buy almost ev.thing but not happiness
 
Umepewa mwezi 1 ndani ya jiji la dar uchague upewe mpenzi bila fedha au upewe fedha bila mpenzi. utachagua lipi?
 
Money can buy people but not friends.
Education but not qualifications.
Woman but not love
Certificates but not education.
Money can buy almost ev.thing but not happiness

Money buys things to make you happy ..in other hand money can buy happiness ..
You just say for a short period ..
 
Back
Top Bottom