Wana JF,
Duuuh hii inatisha sana kama Intelligencer ya Said Mwema inaweza kuwadhibiti waaandamananji huko arusha kwa nguvu kiasi kile iweje walishindwa kupata hizo taarifa za Ki intelligencer kwa wezi wa pesa za BOT, hapo hamuoni kuwa Jeshi letu la police na usalama wa taifa ni wanachemka tu na kufuata order za wakubwa na sio kwa ajili ya usalama wa Taifa??
Hizo pesa mpya za BOT kweli quality yake ni hafifu sana pesa ina wepesi kama tissue jamani khaaa walizitengeneza in cheap price hizo pesa kwa matumizi ya watanzania me siwaelewi BOT wametizama security ya pesa au quality ya pesa??