Pesa mbele uhai wa mtanzania baadaye! MSD

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
550939_431640850217706_1419059832_n.jpg
 
si sahihi kupoint finger to MSD kama hujui nini hasa kiko nyuma ya pazia

title ingekua fair if msd was not there
 
si sahihi kupoint finger to msd kama hujui nini hasa kiko nyuma ya pazia

title ingekua fair if msd was not there
tujiepushe tu na vvu bwana hakuna cha dawa feki wala original ugonjwa ni ugonjwa tu ule ni noma
 
tujiepushe tu na vvu bwana hakuna cha dawa feki wala original ugonjwa ni ugonjwa tu ule ni noma

kweli

ugonjwa noma sana na ni bora tujikinge

ila cha maana ni kuwa wakweli kwenye taarifa pia
 
si sahihi kupoint finger to MSD kama hujui nini hasa kiko nyuma ya pazia

title ingekua fair if msd was not there
tatizo ni MSD acha kupotosha,hakuna cha nyuma ya pazia wala nini.
Hakuna siku unaweza kupata dawa ulizoagiza kwa ukamilifu.hawana dawa na wanakataa kutoa documemts zinazoonyesha hakuna dawa.mwisho wa siku hospitali zinashindwa kununua dawa hata kama kuna fedha za makusanyo.
 
Si mmesema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake! Msishangaye urefu wa kamba ya msd ni dawa na vifaa tiba feki. Kabla hujalaumu msd jiulize mwenyewe kwa siri, mambo magapi umefanya ndivyo sivyo? Ingalikuwa dawa je; ingelikuwa tofauti gani na msd?

Dawa ni wote kama jamii ya watanzania kurudi kwenye uadilifu: uwe rais, waziri, katibu mkuu, jaji, profesa, mwalimu hadi ngazi ya chini kabisa. Kama unachakachua kura za uchaguzi, unanunua kura, richmond cha ajabu nini msd kuchakachua dawa? Taifa la wachakachuaji " Mwana wa mhunzi asipoasana hufukuta"
 
tatizo ni MSD acha kupotosha,hakuna cha nyuma ya pazia wala nini.
Hakuna siku unaweza kupata dawa ulizoagiza kwa ukamilifu.hawana dawa na wanakataa kutoa documemts zinazoonyesha hakuna dawa.mwisho wa siku hospitali zinashindwa kununua dawa hata kama kuna fedha za makusanyo.

UMEONGEA PUMBA MKUU

ISSUE NI COUNTERFEIT SIYO STOCK AVAILABILIT, ANGALIA PICHA UELEWE SOMO SIO KILA SWALI JIBU LAKE NI STOCK-OUT

FYI........ the whole saga started kwa BLANDINA NYONI NA MEMO YA KUNUNUA DAWA ZILIZOKUWEPO IN STORE

kuna kashfa ya relabelling na repackaging ambayoni very small propotion ya MSD decision makers may know it na siyo institution, kuna law enforcement people including "system" wanajua, na hata wahusika wa kiwanda wanajua

MSIROPOKE KWENYE KILA KITU; IF YOU DONT KNOW THE WHO SUPPLY SYSTEM FUNCTIONS AND PROCESSES LET ALONE STRUCTURES, YOU'D BE CARRIED TO THE POLITICS OF THING NA KUNUNULIWA NAO WAZEE WA UPATU WALIOFILISI WAKINAMAMA NA KUVUNJA NDOA ZA WATU KWA UTAPELI ABOUT 10 YEARS AGO

NYAMBAFFF
 
Mkuu wacha kutuongopea hapa, huyo Blandina Nyoni kaingiaje hapa, Kama dawa feki zipo MSD ni hao MSD ndio liable usitake kutuletea uongo ulio kubuhu
Kwa hiyo unataka kutuambia wale maofisa waliosimamisha walikuwa hawajui kitu ?
Kama walijua mbona hawakulipoti kama dawa zipo chini ya kiwango ?
 
Ndio maana nilisema kuna mengi hamjui

Tafuteni details za sakata zima kuanzia initiation of the demand, approval to buy, procurement procedure used, who participated, how did the supplier manage to make to stock available and for what reasons, nani anahusika kufuatilia good procurement practice, utaratibu wa kupokea mizigo, utaratibu wa karantini, kuhifadhi, scheduled inspections, sealing the stored consignment, the use of camera in the warehouses, distribution and security of the product, issuing to hospitals, polisi na wanausalama wana kazi gani, TFDA wana role ipi, kwanini dawa zimenunuliwa 2011 lakini zimegundulika kuwa feki 2012 etc. etc. etc.

Ukimaliza hapo, jiulize nani ni players in the system na role yao ni nini, kisha utafakari dawa zimejulikana mbovu na imechukua muda gani bomu kuripuka, jaribu mahusiano ya muuzaji, mnunuzi, mtunzaji na msambazaji nk... hata kiwanda tu kina share za serikali vilevile

HITIMISHO: Unajua dawa zikishafika store zinakaguliwaje??
unajua sera/mwongozo wa product quality control post market
unawezaje kusimamisha aliyepokea uache anayetunza?? ina maana watu hawawezi kupiga tanji na kurudisha?? malori mangapi yanapigwa za uso njiani??

YOU AHVE GOT A LOT TO LEARN AND THE BEST WAY TO DO IT, IS TO ASK, SIO KUBISHA

SWALI DOGO TU KAMA KWELI UNATAKA KUJUA, HOW LONG DOES IT TAKE KUANZIA KUAMUA KUNUNUA HADI KUPOKEA MZIGO???? NA INACHUKUA MUDA GANI TANGU KUPOKEA MZIGO HADI KUTUMIA?? UKIJIBU HAYO UTAJUA NYONI ALIINGIAJE (ALIKUA BADO PS]

ukiona vipi; read my signature....
 
Mkuu Janjaweed inaelekea unajua issue nzima ilivokuwa, lakini unaongea kwa mafumbo! Funguka ili sote tupata kufahamu!
 
Back
Top Bottom