Personality ya Kikwete inatusaidia

Ukisikia mawazo UHARO ndiyo hayo!Kichwa kinachowaza hivyo naona kimejaa kamasi!

- Mkuu labda ungesema wazi ni mawazo ya nani unayoyazungumzia au? Hebu kua muwazi kama uko serious ni mawazo ya nani unayoyasema kwamba ni Uharo na Kamasi?

- Maana kwangu kichwa chako ndio kimejaa pumba na uharo kama wa mlevi wa ugali kwa ugali, maana tha man of your age na education kufikia kuandika kama hivi mbele ya public lazima uwe na Sotoka au Swine Flu, kama sio kichaa cha mbwa!

- Tanzania as a nation ni bigger than one man Kikwete, hatuwezi kulipeleka chini taifa zima on everything kwa sababu ya mtu mmoja tu, na sio lazima wote hapa tuwe na mawazo yenye kamasi na uharo kama yako! Maana msema njia huwa aliipitia ndio maana ni rahisi kuona mwingine mwenye mawazo ya uharo na kamasi ni kwa sababu lazima na wewe unayo, au?

FMES!
 
Ukisikia mawazo UHARO ndiyo hayo!Kichwa kinachowaza hivyo naona kimejaa kamasi!

Mkuu voice your opinion with some decency. This is a free forum where any body can give their views. Kama umeona hoja au maneno ya mtu yana dosari waweza eleza bila maneno ya ajabu kama hayo. Sasa kwa kauli hii nani anaonekana mwenye mawazo uharo, huyo mtu au wewe? Kwanza hauja eleza hayo mawazo uharo ni yapi wala ni ya nani, tuambia basi halafu na wewe changia tuyaone hayo mawazo yako safi. Hapa mkuu napingana na wewe kabisa na inaelekea hukuwa na cha kusema bali ulikua na hamu ya kutukana.
 
siku hizi hizi award za kulipia zipo nyingi...hata mtu kama una kashule kako au kabiashara...utashngaa unatumiwa junk email...inasema "you have been nominated as the best company in africa in customer care..bla bla...to confirm click here!!!....then wanakuambia to confirm attendance of award giving ceremony pay 3,000$ icluding two days accomodation.......ukishalipa tu ....unatumiwa mwaliko ...kweli utaenda marekani au ulaya utakutana na majuha wenzako mna line up mnapokea junks awards ....na picha kibao...ukirudi nyumbani unabandika ukutani na kufanya press release ....hakuna lolote ...wizi mtupu!!!!!

...hembu angalieni aunthencity ya award aliyopewa rais wetu isijekuwa katapeliwa .....inatambulika wapi???....viongozi gani wengine walishapewa????....miimi nahisi hawa jamaa wana email za marais wote hasa waafrika ...waliwatumia wote email ya kuwa nominated ...aliyejibu[respond ] akawa jk...wakampa fee [say 100,000$]....akalipa then wakamualika ......ni lazima kumlinda rais na urais wetu dhidi ya cheap awards .....kama ni lazima sana ...anaweza kumtuma balozi wetu kupokea on behalf kama tunahisi taasisis inayotoa haina hadhi ya urais...au hakuna viongozi wa hadhi yake wamepata ku attend....

nasema hivi kwa sababu tusijeishia kuandaa mapokezi airport ...na fulana zetu za maisha bora[bora ingekuwa maisha plus]...kumbe award ni feki!!!
 
Personally namkubali saaaaaaaaaaaana JK. Mungu akupe nguvu mkuu wetu, pamoja na kuwa kura zitapungua 2010 lakini tupo bega kwa bega mkuu wetu.
 
- Wakuu wakati mwingine tuwe positive kidogo, this yaani hii habari ni a good thing kwa taifa letu sio tu kwa rais wetu, sawa ana mapungufu yake lakini akipewa zawadi international kama hizi tuwe grateful japo kidogo basi, taifa la Tanzania ni bigger than Kikwete as individual jamani!

- Kwamba tuna-drag down taifa zima kwa sababu ya mpungufu ya huyu raia mmoja tu kati ya raia Millioni 40, pleeeeease!

Respect.

FMEs!

Mzee Es, just a joke; looks as getting this done a lot of money was paid; are you among the lobbysts? How much did it cost!!?
 
Jamani hivi mbona tuna kuwa kama hatuna akili?! mitandao siku hizi intoa elimu za buree, angalieni maana ya personality. Mkuu wetu haqualify kabisa kwanza kikubwa zaidi ni ile tabia yake ya kuchekacheka kila mahali! Huwezi kuamini kwa vigezo vya utaalamu wa personality mtu kama Ben Mkapa au Salim A. Salim wanamuacha mbaali sana!
Lakusema personality yake inatusaidia, inatusaidia nini? Kama wewe unamuona mzuri "itabidi uongee nae vizuri privately"... usituhusishe sisi! Uzuri wa mwanaume sio kuwa mrembo kama mwanamke, ni kuwa mwanaume kwelikweli, ikibidi hatamakovu mwilini yawepo kibao!
 
- Wakuu wakati mwingine tuwe positive kidogo, this yaani hii habari ni a good thing kwa taifa letu sio tu kwa rais wetu, sawa ana mapungufu yake lakini akipewa zawadi international kama hizi tuwe grateful japo kidogo basi, taifa la Tanzania ni bigger than Kikwete as individual jamani!

- Kwamba tuna-drag down taifa zima kwa sababu ya mpungufu ya huyu raia mmoja tu kati ya raia Millioni 40, pleeeeease!

Respect.

FMEs!

promoting and executing sound and practical health programmes in Tanzania

Mkuu FMEs, Respect! Labda kwanza tungejiuliza na kujiridhisha ni 'Sound and Practical Health Programmes' alizokwisha fanikisha Mkulu wetu walizoziona wenzetu kiasi cha kumzawadia ambazo sisi hatuzioni!
 
Moja ya mambo ambayo US imemkubali JK ni pamoja na kupatikana suluhu ya mgogoro wa Kenya katika kipindi kifupi. Mataifa makubwa yalipata wasiwasi wa mgogoro ule kwamba ungeendelea kuwa mkubwa na kuidhoofisha Kenya.
Jitihada za JK ziliwezesha kuweka mambo sawa ndani ya Kenya.

Baadhi tunaweza tusione kuwa ni big issue, lakini athari za mgogoro wa Kenya zingekuwa kubwa sana kwetu na Afrika kwa ujumla kama ungeendelea kukua.

Jambo lingine ambalo limempa chati ni kupanua haki na uhuru wa kujieleza katika Tanzania pamoja na kupanuka kwa demokrasia. Vilevile vita dhidi ya rushwa, magonjwa hasa ukimwi na malaria. Sehemu nyingine ni jitihada zake za kuhakikisha anaweka miundo mbinu ya kuwezesha vijana wengi waweze kupata elimu ya chuo kikuu. Hii ni pamoja na kuongeza idadi ya wanafunzi wanaoingia kidato cha tano, kujenga chuo kikuu kipya pale Dodoma pamoja na serikali kuzipa ushirikiano taasisi zingine kama mashirika ya kidini katika kuanzisha vyuo vikuu.
 
Mkuu kama ni tusi basi umelipanga kifundi kweli. Unamsifia rais wako kuwa omba omba wakati hata kuwa mkopaji ni aibu. Sijui unatuambia nini watanzania.
 
Moja ya mambo ambayo US imemkubali JK ni pamoja na kupatikana suluhu ya mgogoro wa Kenya katika kipindi kifupi. Mataifa makubwa yalipata wasiwasi wa mgogoro ule kwamba ungeendelea kuwa mkubwa na kuidhoofisha Kenya.
Jitihada za JK ziliwezesha kuweka mambo sawa ndani ya Kenya.

Baadhi tunaweza tusione kuwa ni big issue, lakini athari za mgogoro wa Kenya zingekuwa kubwa sana kwetu na Afrika kwa ujumla kama ungeendelea kukua.

Jambo lingine ambalo limempa chati ni kupanua haki na uhuru wa kujieleza katika Tanzania pamoja na kupanuka kwa demokrasia. Vilevile vita dhidi ya rushwa, magonjwa hasa ukimwi na malaria. Sehemu nyingine ni jitihada zake za kuhakikisha anaweka miundo mbinu ya kuwezesha vijana wengi waweze kupata elimu ya chuo kikuu. Hii ni pamoja na kuongeza idadi ya wanafunzi wanaoingia kidato cha tano, kujenga chuo kikuu kipya pale Dodoma pamoja na serikali kuzipa ushirikiano taasisi zingine kama mashirika ya kidini katika kuanzisha vyuo vikuu.

Kwa ujumla nakubaliana na hoja zako ingawaje ningependa kujiridhisha zaidi katika haya:
Hivi kama ni usuluhishi wa Mgogoro wa Wakenya si mzee wetu BWM na Mama Mandela, Kofi Annan na wengine wangeweza kustahili pia sifa hizo kwa kuwa walikuwa pale fulltime wakati mkulu wetu alikuwa akiingia na kutoka, kama sijakosea sana?
Hii ya chati ya kupanua haki na Uhuru wa kujieleza si tunaweza tukampa zaidi mzee wetu Ruxa??
Hili la Vita dhidi ya magonjwa ya Ukimwi na Malaria linaweza kukubalika ingawaje pia inawezekana pengine kina BWM walilifanya kwa ufanisi mkubwa zaidi. Hili la Vita Dhidi ya Rushwa??.....Mmmmmmm??
As for Chuo Kikuu Dodoma, haiwezekani kuwa hii ni mipango ambayo alipoingia Ofisini ilikuwa ni suala la kuikamilisha tu?? Tujuzane Mkuu!
 
personality haitusaidii sisi...JK alichaguliwa kuingoza serikali ya TZ na wananchi wake sio awe mwakilishi wa nchi huko nje...ndio maana anakuwa na waziri wa mambo ya nje....hatukatai yeye kwenda nje lakini safari zake zimekuwa hazina tija kwa walalahoi, anayo mambo mengi hapa nyumbani yanayo hitaji atention yake...hata ule mgogoro wa ZNZN umemshinda...kwenye ufisadi anauma maneno...anataka msaada gani kutoka nje wakati uwezo wa kufanya haya anao....
kama raisi anatakiwa asifiwe na wananchi wake sio watu wa nje..........
 
Mzee Es, just a joke; looks as getting this done a lot of money was paid; are you among the lobbysts? How much did it cost!!?

- Anyways naenda kumuona leo in two hours from now, ninamuwahi kabla hajaondoka kesho, vipi una ujumbe mkuu? maana toka jana nilikuwa ninajaribu kufanya summary ya ishus muhimu humu kabla ya kumuona leo!

Respect.

FMEs!
 
Mawazo ya kinyumenyume kama haya ndiyo wanayo wananchi wengi. Mtu anayeweza kutumia computer ktk Tz anachukuliwa kuwa ame-advance kidogo mbele ya wale lundo wasioelewa lolote ...lakini ona hoja zake zilivo famba. No doubt watu kama huyu watamrejesha kwenye kiti cha ufalme mwakani ili aendeleze n'ngwe ya kuimasikinisha nchi..
Duuh hii kali ya kunipa usingizi mnono wa w'end
 
Mwanakijiji,FMES,Dr.Slaa,Zitto,Mwawado,Jasusi,....

..hii safari imegharimu kiasi fedha kiasi gani?
 
- By kesho ninaweza kuwa angalau na makadirio, lakini kwa haraka haraka naamini angalau Dola kuanzia laki tatu mpaka tano, I could be wrong, lakini my experience na hii misafara inaniambia I am right.

FMES!
 
promoting and executing sound and practical health programmes in Tanzania

Mkuu FMEs, Respect! Labda kwanza tungejiuliza na kujiridhisha ni 'Sound and Practical Health Programmes' alizokwisha fanikisha Mkulu wetu walizoziona wenzetu kiasi cha kumzawadia ambazo sisi hatuzioni!

- Mkuu labda historia itakushitaki kwenye hili, maana it took USA kujua kwamba Mbunge Anne Kilango, ni kiongozi bora kabla ya sisi wenyewe, au?

FMES!
 
Tanzania ina mifano mingi tu ya sound and practical programmes kwenye health kwa nchi zinazojulikana kama HIPC.

Inaweza isiwe yote ni matunda ya serikali ya wamu ya nne, lakini ukweli unabaki kuwa kama Taifa, tunatambulika kwa mikakati bora zaidi ya afya given the meagre resources.

Mfano mmoja, inasadikiwa Tanzania inaweza kuwa NCHI PEKEE kati ya za kundi la HIPC kuhit the Millenium Development Goal ya kupunguza vifo vya watoto by 2/3 BEFORE 2015.

Kwa hili it makes me proud, kuona kuna maeneo tunakuwa ni role models kwa nchi zinazoendelea. Probably thats why its so understandable kumpa JK the award hasa ukizingatia hao jamaa wameconcentrate na Sub Saharan Africa.
 
Back
Top Bottom